Nahisi kufukuzwa kazi kisa wanawake walionigombania kesi imefika kwenyewe

Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
Kuna baadhi ya vitu umefukia fukia, na unaonekana kweli una hicho kitabia cha unafiki, unaonyesha unao uwezo wa kugonganisha watu kwa maneno, hata kwa wale ambao siyo wapenzi wako Unao uwezo wa kugonganisha watu tuseme hata wanaume wenzako maofisini. Usije kujta sana kwa yale yatakoyokupata, una mchango mkubwa. Kama kweli kuna ugomvi ulitokea, jua kuwa sababu ya ugomvi huo hasa ni wewe, na kiini cha sababu hizo hapa hujakiweka wazi, umemung'unyamung'unya maneno kinafiki
 
Upigwe jela miezi 3 hivi itakuwa vzr, kwa nini unachezea hisia za wenzako na huko naamini watatenda haki sio kama hapa bongo ingeonekana wao ndo wanamakosa lkn kumbe wewe ndo ushenzi mkubwa.
Ulimchukua nesi kumpeleka mgahawani ulitaka upime nn??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamii mpo salama?

Ilikuwa tarehe 12 mwezi wa tisa nikaenda mgahawa mmoja unaitwa New castle cafe hapa changi, Singapore,

Niko nimekaa zangu akaja muhudumu ni mfilipino ni demu mzuri tu, akanihudumia, kama kawaida yetu wanaume si kuchelewa ni naomba mawasilino yake akakataa lakin nikamsihi akanipa,
Baada ya wiki moja nikarudi pale kupata kinywaji tunazoeana sana sana nikaanza Kwenda daily ikafika hatua kila nikienda anajua nita kunywa bila hata kumwambia maana alinizoea

Week kadhaa baadae nikawa naumwa nikaenda zangu hospitali, nikakutana na mtoto wa brazil ndo nurse anaitwa lisa, akanihudumia vizuri tu,

Baada ya siku nikaenda tena hospitali akawa amenihudumia yeye, tukawa marafiki pia, nikachukua mawasiliano yake , tukawa tunawasiliana tukataniana
Mazoea yakakolea sana sana sana , nikaenda naye out pale pale pa siku zote, kufika tu yule dada wa pale hakunihudumia na hakutaka kuniangalia kisa nina demu mwingine,

Akachukia kweli, akamaliza muda wake wa kazi shift yake, akawahi kwangu electra street,alipajua maana nimemkanyagia hapo mara moja

Mi nikaendelea kukamua kinywaji muda wa kwenda home ukafika, nikabebana na huyu demu kwenye gari lake, nafika nakuta mtu kwenye korido, akanivuta akanisukuma, ugomvi ukaanza wakavutana nywele pigana , huyo mfanyakazi wa mgahawani akampiga kwa pochi lisa usoni akavuja ,polis hawakuchelewa wakaja wakatupeleka sote ndani kwa mahojiano, cha kushangaza kesi nimepewa mimi eti ndo nimepanga pale kwenye bed sitter hivo ndo nimeleta matatizo, jumatano naenda kureport tena polis nione nini kitatokea,

Nyie mademu nyie

Possible outcome naweza kuwa deported
Au kulipishwa faini,

Nafanyaje na nijibu nn
ukisikia uhaanaume ndo huo sasa
 
Back
Top Bottom