Nahisi kuchanganyikiwa

Nahisi kuchanganyikiwa

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,725
Reaction score
1,194
Ninamiaka sita katika ndoa na mywife wangu,maisha yamekuwa yakienda kawaida tu.miaka miwili iliyopita nilipata ajari katika shughuli zangu nikaumia mgongo ,nilipata vipimo hospitali wakaniambia hakuna tatizo.
Baada ya miezi kama mitano hivi nikaanza kuhisi uwezo wangu kitandani unapungua na hata mywife wangu alianza kulalamika kuwa simtoshelezi,wakati natafuta ufumbuzi wa tatizo kwa kutumia dawa za asili bila mafanikio mywife akawa hanilalamikii tena nikaanza kuingiwa na hofu huenda kashapata kidume kingine,nikaanza uchunguzi kimya kimya.
Juzi nikarudi nyumbani ghafla bila taarifa na nikakuta mlango wa nje umerudishwa tu kwahiyo nikaingia ndani sikumwona mtu ,mlango wa chumbani ulikuwa kama umefungwa nilipokaribia mlangani nikasikia miguno kama watu wanafanya mapenzi chumbani nami nikauvamia mlango na bahati nzuri ulikuwa haujafungwa kwa ufunguo,nilipoufungua ghafla kwa lengo la kufumania nilichokikuta ndicho kinachoniumiza kichwa,kwani nilimkuta mkewangu anaweweseka akiwa anajihudumia kwa sexual toy nikabaki nimeduwaa naye pia akawa hana la kusema .
Lile dude nilimnyang'anya na kulitupa chooni na hapa nilipo sijui nimfanyeje !naombeni ushauri tafadhari.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Sasa tukizingatia mahitaji yake ya kibiologia, ukikaza roho na uselfish pembeni, bora Doli au Angekucheat na binadamu mwenzio?

Mmmmmmmh! Hali yako tete sana ndugu! Hilo doli ukilificha si atanunua jengine tu!
 
endelea kutafuta dawa. mkeo haendi nje so hakusaliti na hataleta magonjwa/mimba za nje, so hakuna problem. mwache tuu aendelee na dild0 yake mpaka utakapopona.
 
Pole mkuu . Jaribu kukaa nae na kujadiliana kwa pamoja hicho kinachokuchanganya ili nae ajue hali ulio nayo. Pia jaribu kuwaona madoctor huenda watakusaidia kupata ufumbuzi wa tatizo lako.
 
Na mimi nitoe mtazamo wangu hapa!
Kwanza, alichokifanya mkeo sio kibaya, usingemtupia nanii yake! Kumbuka, afadhali ya Mussa...!
Pili, upepo umebadilika sasa (umepungua nguvu za kiume), shukuru Mungu hizo zilizobakia! Unachotakiwa wewe, ni kuhakikisha mkeo anatosheka, vipi utamtosheleza? Hakikisha unakamua mafuta sana kabla ya kuweka gia! Hii itasaidia kumfikisha Posta haraka, just jiamini, ivi ni kweli m/ke anamfkisha m/ke mwenzie (Lesbian) halafu wewe akushinde kweli! Ukizingatia wewe unagobole, lisipotoa shaba unachoma na kisu!
Mmh! Ukishindwa kumfikisha, bora ukamnunulie lamchina lake!
Kila la heri Mkuu.
 
Mimi ningemkuta katika hali hiyo ningempongeza na kumuomba radhi kutokana na hali yangu. Mke wako amekuheshimu sana mkuu. Kwa aina ya wanawake wa siku hizi hawa, mshukuru Mungu kuwa na mke wa aina hiyo. Kwakweli anastahili pongezi, na ninakushauri mpe outing, kamuombe radhi kwa reaction yako. Baada ya hapo mnunulie dildo lingine zuri kabisa, halafu uwe unamsaidia kufika kileleni, and you can have a happy marriage.
 
dah!pole sana bt huna haja ya kuchanganyikiwa!
listen,unapoendelea kutafuta hiyo tiba, mbona unaweza kumfikisha bila kumuingizia hyo kitu!
...unajua nyie mmecrem tu,unaweza kumfanya afike kwa utundu wako tu + mikono yako as long unamfaham vzr ni rahisi sn,acha kuchanganyikiwa!do it,asije toka nje aisee!
 
Kilichokufanya usijiunge na match na refa kakupendelea kukupa mechi baada ya half time ni nini? Toka nje ya boski, jadiliana na mkeo na akufundishe kutumia dildo ili mridhishane. Kalaghabaho!
 
Da jamani nimruhusu hapo si ndo atakuwa bize muda wote na hilo dude halafu atakuwa hana muda na mie

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Kawaida tu hiyo, mwache mke wako ale maisha, we unadhani kwa nini wazungu hawaoi au olewa, ebu cheki hapa www.sexyland.com.au mtaftie dildo la umeme au vibrator ili awe na variety la sivyo asijeenda out mazima
 
Ukweli ni kwamb mkeo anajiheshimu tu na ucngemuona angelichoka hilo dildo na kutafuta a real man.mwombe samahani kwa kuoverreact alafu mpe mautundu kwenye romance acome mpaka aridhike ndo uingie wewe.tatzo nguvu zimepungua ukijumlisha na uvivu na kujiona mgonjwa unamneglet mwenzio akisema hajaridhika unasema c unajua natafuta dawa mke wangu?hujisumbui hata kumsugua na mkono aridhike kidigo unageuka unalala.pole lakini punguza ubinafsi na uvivu
 
Mkuu ulikosea..ulitakiwa uoneshe furaha then uingie kumspaport..Angekuheshimu sana..Pale ulichotakiwa kufanya ni kuonesha tabasam then unampa maneno matamu na makiss ya nguvu then unavua nguo unaanza fujo pia kuonesha kuwa hujakerwa ungemsugua sugua kidogo na hilo dildo lake then unaanza fujo..mboo sio lazima ifanye kazi kuchwa kutwa kuna fujo zingine nyingi tuu..wake up ma bro..dont give up..muoneshe kuwa unampenda na hili ndo tatizo kwako..Utagongewa na wamasai walinzi oohooo..me sijaoa bado lkn
 
Kawaida tu hiyo, mwache mke wako ale maisha, we unadhani kwa nini wazungu hawaoi au olewa, ebu cheki hapa sexyland mtaftie dildo la umeme au vibrator ili awe na variety la sivyo asijeenda out mazima

Napingana na ww!hivi hayo madude ya nn wakati ww upo!jamani Mungu sio mjinga!
...USIniguse, uwezo wa kumridhisha bila hyo kitu yako unao,usikubali atumie hyo nn cjui mnaita
 
kikubwa fuatilia tiba kwa kwenda hospitali kuangalia kama mgongo umeleta athari katika hili pia hormon nazo vp kama zaleta vichocheo vya hisia hasi, lakini ni muhimu pia kwenda kwa washauri nasaha inawezekana una tatizo la kisaikolojia. matatizo ya aina hii wakati mwingine huwa ya kisaikolojia tu, limewahi nikuta mm la mtalimbo kuwika mara moja na nikmaliza haurudi tena lakini tatizo ni girl wangu alikuwa ananidharau sana so sikuwa nikijiamini na kuwa na sexual interested nae, nilifundishwa saikolojia ya mahusiano na lecturer wangu baadae nikakaa na girl wangu kumuelekeza wrong perception zake ndo chanzo cha tatizo hakunielewa, nilituliza kichwa kwa kuendelea kumuelekeza akaanza kuelewa siku hizi aah tumeoana na nakandamiza mpaka balaa mwenyewe anasema angefanya makosa sana kama angenikimbia, tunaishi vizuri tu, ukiweza nitafute.:help:
 
Ninamiaka sita katika ndoa na mywife wangu,maisha yamekuwa yakienda kawaida tu.miaka miwili iliyopita nilipata ajari katika shughuli zangu nikaumia mgongo ,nilipata vipimo hospitali wakaniambia hakuna tatizo.
Baada ya miezi kama mitano hivi nikaanza kuhisi uwezo wangu kitandani unapungua na hata mywife wangu alianza kulalamika kuwa simtoshelezi,wakati natafuta ufumbuzi wa tatizo kwa kutumia dawa za asili bila mafanikio mywife akawa hanilalamikii tena nikaanza kuingiwa na hofu huenda kashapata kidume kingine,nikaanza uchunguzi kimya kimya.
Juzi nikarudi nyumbani ghafla bila taarifa na nikakuta mlango wa nje umerudishwa tu kwahiyo nikaingia ndani sikumwona mtu ,mlango wa chumbani ulikuwa kama umefungwa nilipokaribia mlangani nikasikia miguno kama watu wanafanya mapenzi chumbani nami nikauvamia mlango na bahati nzuri ulikuwa haujafungwa kwa ufunguo,nilipoufungua ghafla kwa lengo la kufumania nilichokikuta ndicho kinachoniumiza kichwa,kwani nilimkuta mkewangu anaweweseka akiwa anajihudumia kwa sexual toy nikabaki nimeduwaa naye pia akawa hana la kusema .
Lile dude nilimnyang'anya na kulitupa chooni na hapa nilipo sijui nimfanyeje !naombeni ushauri tafadhari.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Pole sana, I can imagine situation uliyonayo kwa sasa. Cha msingi samehe tukio lenyewe, na kasha kaa naye kama walivyosema wadau walionitangulia na kutafuta solution ya tatizo lenyewe kwa haraka kadiri inavyowezekana. Onana na madaktari halisi wa hospitali wanaweza kukusaidia zaidi kuliko kwenye waganga wa kienyeji ambao wanaweza kukuingiza kwenye matatizo zaidi!


Nimeshauri kuchukua hatua za mapema sana kutafuta ufumbuzi kwa sababu kuna madhara sana ya kutumia sex toys ambayo atayapata mkeo endapo ataendelea na huo mchezo, ingawa ktk hali ya kawaida, ni bora ya kutumia toy kuliko kukusaliti kwa kutembea na mwanaume nje ya ndoa. (Heri nusu shali kuliko shari kamili)
 
Acha hizo mkuu,hapo hakuna kitu cha kukuchanganya labda sema ulishtusha kumuona anajiridhisha bila msaada wako.Lazima wakati mwengine mtu ukubaliane na ukweli wa mambo na jua kuwa dunia imebadilika haina maana kuwa kila kitu usichokizoea ni kibaya!.Muhimu kuwa muwazi na ongea nae,yeye kutumia hilo dude inamaanisha hawezi kutoka nje kirahisi,hiyo ni bora kwako ukitilia manane kuwa huwezo wako umepungua.Mpe nafasi ajishughulikie na ikiwezekana na wewe pia kuwa nae wakati wa starehe hiyo.Sio lazima umuingize wewe ,ila unaweza kumshikashika sehemu zingine za mwili wakati anajitia dildo,hivyo na wewe unakuwa upo kumpa raha.Kama mtu wa kuuchuna unaweza ukawa wewe unamtia hilo dude(hii kidogo inataka moyo,kulishika hilo dude haipendezi sana) huku ukimchezea sehemu anazopenda.Hii haina maana ndio basi kujamiiana ki kawaida hapana,ni njia mbadala mpaka utakapokuwa umerudi hali yako ya kawaida.
 
Back
Top Bottom