Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,441
- 3,252
Mpaka sasa hajanifata pm, shauri zake mwache aendelee kuumia wakat mwenzake huko anapata rahaHapo sasa, em changamkeni bas, ππππ
Nitajie sifa za mwanaume unaetaka kuwa nae nikushauri kitu..Kuna wakati unatamani ule hayo maisha na mtu unaempenda
πππππMpaka sasa hajanifata pm, shauri zake mwache aendelee kuumia wakat mwenzake huko anapata raha
dah we hata uki kolewa kwenzi, lazima ulipizeππWallah nataka nimsaidie huyu mwenzangu, awe na huyo jamaa kipenzi chake.
πππππ
ππππ afu sina kisasi, ni mtu poa mno, ila nikikasirika, nakua mwingine kabisaa.dah we hata uki kolewa kwenzi, lazima ulipizeππ
Una nitisha tatizo, we mwanamke gani una penda ugomvi kama shereheππππππ afu sina kisasi, ni mtu poa mno, ila nikikasirika, nakua mwingine kabisaa.
πππππ
Sipendi ugomvi, ila ukiniletea nautaka na naupokea kwa mikono yote.Una nitisha tatizo, we mwanamke gani una penda ugomvi kama shereheππ
"Ilikuwa kama masikhara lakini nikajikuta nampenda kweli"
sema hunaga noma, labda uamue kuki nukisha tuππSipendi ugomvi, ila ukiniletea nautaka na naupokea kwa mikono yote.
Kifuatacho ni furahisho tyuuh. πππππ
Huwa siamui mie, wenyewe wananiamulia, sasa nifanyejee?sema hunaga noma, labda uamue kuki nukisha tuππ
Sema ukweli, huwa una tamani waku chokoze tuπ€π¦Huwa siamui mie, wenyewe wananiamulia, sasa nifanyejee?
Mie ni utekelezaji tyuuh, πππππ
Sasa kwanini wanichokoze na wao? Si wakaushee tyuuh.Sema ukweli, huwa una tamani waku chokoze tuπ€π¦
Vurugu tupu, ngoja ninywe chai maana nime chelewa kuamka.Sasa kwanini wanichokoze na wao? Si wakaushee tyuuh.
Au wee unaonajeee? πππππ