Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,813
Pole mkuu huna budi kufanya maamuzi yenye faida kwakoSiwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea nae
Japo ameniumiza sana kwa kunidanganya wakati wote huo
Hapa nilipo machozi yananitiririka nawaza nimekosea wapi hii inikute kinachoniuma amenidanganya tena pakubwa sanaNdio unaelekea kukua... Likishapita ukalisahau ndio umekua π€£
Sijawah mimiHuyu bado mgeni kwenye ili game.
Nilishafanya mwanzo nikashindwa nikajikuta nimerudi kwake tena π₯Pole mkuu huna budi kufanya maamuzi yenye faida kwako
Tafuta nawe jamaa mwingine wa kukuliwaza?Siwezi kwakweli kila nikiwaza saivi amelala na mwanamke wake anafuliwa na mwanamke wake anapikiwa wanacheka pamoja wanafurahi huku mimi nateseka na baridi peke yangu Roho inaniuma najawa na wivu naogopa sana kuendelea nae
Japo ameniumiza sana kwa kunidanganya wakati wote huo
Nimeshajaribu ila najikuta nakuwa nina hasira nakua mkali mno yaani namna sijisikii kuwa na mtu mwingineeTafuta nawe jamaa mwingine wa kukuliwaza?
Dunia ina watu wengi hii, unakwama wapiii?
Wee umerogwaaa? Vipi uko tayari huyo jamaa tumuachanishe na mkewe, afu akuoe wee?Nimeshajaribu ila najikuta nakuwa nina hasira nakua mkali mno yaani namna sijisikii kuwa na mtu mwinginee
πππππUzuri unajua kuwa hakuna mtu yuko single, kikubwa ni kupambana wewe ndo uwe main chick, sasa hapo angalia utatumia maujanja gani upande chart,
Hata ukimuacha huyo jamaa ukienda sehemu nyingine utaanzia level hiyo hiyo ya mchepuko, baadaye kiwango kikipanda unakua main chick
Huwezi kusajiliwa na kuanza moja kwa moja lazima utokee bench
Ndio nataka namna ya kutoka nimeshajaribu njia zangu mimi nimeonaa nimeshindwa najikuta narudi pale paleMiezi 8 hujui kama ameoa au lah na bado unasema unampenda na unataka mfunge ndoa. ?? In short jamaa hatamwacha mke wake kwa ajili yako, na pale akili ikikukaa vizuri utakuja kugundua umetumika tu. Toka kabisa hapo kwenye hayo mahusiano uanze upya.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Nimeshajaribu ila najikuta nakuwa nina hasira nakua mkali mno yaani namna sijisikii kuwa na mtu mwinginee
Nataka kuachana nae.. sitaki kuwa sababu ya kuwaachanisha watuWee umerogwaaa? Vipi uko tayari huyo jamaa tumuachanishe na mkewe, afu akuoe wee?
Kuwa serious niko tayari kwa msaada.
Inategemea na level ya mahusiano waliofikia watu wameshazaa wanakaa wote wameshalipiana na mahari unawezaje kuwaachanishaUzuri unajua kuwa hakuna mtu yuko single, kikubwa ni kupambana wewe ndo uwe main chick, sasa hapo angalia utatumia maujanja gani upande chart,
Hata ukimuacha huyo jamaa ukienda sehemu nyingine utaanzia level hiyo hiyo ya mchepuko, baadaye kiwango kikipanda unakua main chick
Huwezi kusajiliwa na kuanza moja kwa moja lazima utokee bench
Ndio nataka namna ya kutoka nimeshajaribu njia zangu mimi nimeonaa nimeshindwa najikuta narudi pale pale
Nipe no ya jamaa, nimkanye akuache kabisaa.Nataka kuachana nae.. sitaki kuwa sababu ya kuwaachanisha watu
Huna ujanja inaonekana anakujulia na pesa juuNilishafanya mwanzo nikashindwa nikajikuta nimerudi kwake tena π₯
ππππHuna ujanja inaonekana anakujulia na pesa juu