Em Fafanua, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watanzania wepesi sana kupigwa
halaf hawafundishiki
Kwenye information inaonyesha ni AliExpress standard shipping, afu wakaweka contact courier namba za simu mbili ambazo ziko busy muda wote, namba mojawapo nikipiga inaleta jina Kapinga House (KP House)Mzigo kama umetumia njia ya speedup wanamawakala wake ambapo ukifika tu kwa wakala unaokuwa delivered ww unatakiwa umtafute wakala wa sehemu ulipo ukauchukue
unacheka cheka nini sasa..Em Fafanua, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nina uhakika haujui kitu kinachozungumziwa. Umeamua kuandika ili kwenda na upepo.Watanzania wepesi sana kupigwa
halaf hawafundishiki
Ebay unatuma vipi mpaka bongo , courier gani unawatumia kukubebe mzigo wako?Nilimpigiwa simu na mawakala wa speedaf ila nilikua mbal, sikupokea simu Yao, hawakunitafuta tena na mzigo Hadi Leo umepotea, speedaf niwaizi na matapeli Bora walivyokua wanaipeleka posta, kwasasa situmii tena AliExpress kwasababu ya hawa matapeli speedaf, kwasasa nitarud eBay
kwa uzoefu, nilichagua item nikailipia kwa paypal, mzigo ulisafirishwa toka US hadi germany na FedEx, then ukasafirishwa germany to bongo na DHL, Nikapigiwa simu posta nakachukua.Ebay unatuma vipi mpaka bongo , courier gani unawatumia kukubebe mzigo wako?
Na je mzigo wako kama uko USA au UK unasafirisha vipi mpaka bongo... Asante
Hakuna ulichopigwa hapo subiri utapigiwa simu. Aliexpress huwezi poteza hata shilingi moja. Wewe ndo unajukumu la kuthibitisha umepokea mzigo na hakuna mtu mwingineWakuu, Nilinunua charger simu na cover la simu kutoka aliexpress, covers zinaonyesha zipo nchini tayari, lakini charger inaonyesha delivery wakati mimi wala sijaipokea, nimechat na muuzaji kanambia nicheck labda kuna ndugu amesign na kuchukua kwa ajili yangu wakati hakuna kitu kama hicho.
Nilikuwa natumia ebay sijawahi kukutana na changamoto yoyote, mizigo ilikuwa inafika posta napigiwa simu nachukua.
Kwa aliexpress hii ni mara ya kwanza kutumia, tafadhali anayejua nini cha kufanya katika issue kama hii aniambie.
View attachment 3077791View attachment 3077792View attachment 3077793
Usi watishe AliExpress kutotumia STORE yao kwa oda kama hii.pia jifunze kitu kabla ya kufanya sawa.itakusaidia baadae.Nilimpigiwa simu na mawakala wa speedaf ila nilikua mbal, sikupokea simu Yao, hawakunitafuta tena na mzigo Hadi Leo umepotea, speedaf niwaizi na matapeli Bora walivyokua wanaipeleka posta, kwasasa situmii tena AliExpress kwasababu ya hawa matapeli speedaf, kwasasa nitarud eBay
Total weight yake ilikuwa ni ipi na gharama ya huo uzito mpaka bongo ilikuwa sh ngapi?kwa uzoefu, nilichagua item nikailipia kwa paypal, mzigo ulisafirishwa toka US hadi germany na FedEx, then ukasafirishwa germany to bongo na DHL, Nikapigiwa simu posta nakachukua.
Posta huwa wako slow inaweza pita muda mpaka kukupigia ila hujapigwa. mimi niliwahi safirisha from aliexpress vitu vinaonyesha vimefika ikapita hata mwezi ndo eti posta wananipgia nikachukue. hata shida navyo ilikuwa ishaisha sikwenda maana kwanza nilikuwa nimesafiri.kwa uzoefu, nilichagua item nikailipia kwa paypal, mzigo ulisafirishwa toka US hadi germany na FedEx, then ukasafirishwa germany to bongo na DHL, Nikapigiwa simu posta nakachukua.