Nahisi kama naota vile


Ntamchapaje na bakora yangu ishachoka. Huyo inaelekea mzoefu wa bakora za vijana. Wanamchapa kotekote mpaka kapagawa na kuwa sugu.
 
Hongera yaan muda mfupi tu hivyoo hayaa,uzurii utaandika tenaaa humuu
aisee ningekukosa kwenye huu uzi sijui ingekuaje watu wana nyota za kupendwa kutishia kufa kidogo tu tayari kapata mume!!
 
Dada yake nipo hapa, wifi kumbe kaka yangu akiwa busy na shughuli zake nawe wachepuka tena mwingine kizee hivyo hahahahaa

kesi yangu na wewe itasikilizwa kesho. uje na wakili mzuri
 
hapa hakuna kitu siku mbili tatu unaconclude anakupenda wanawake huwa mnajidanganya.kila la kheri
 
kesi yangu na wewe itasikilizwa kesho. uje na wakili mzuri

Usijichanganye kabisa hivi kesi za wakurya unazijua au unazisikia? hatuendi kituoni siye. Sisi wenyewe ndio polisi. Bado na ya my bro Excel unalo
 
Last edited by a moderator:
Ntamchapaje na bakora yangu ishachoka. Huyo inaelekea mzoefu wa bakora za vijana. Wanamchapa kotekote mpaka kapagawa na kuwa sugu.



...hahhaaaa..babuuu ni shidaaaaa...hiv vitoto hivi...kimeshajua kutype keyboard ni tatizo...ukahaba wake kanatangaza bila hiyana...kananuka kweli haka...hata kuoga tu hakajui...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…