Nahisi kama naota vile

nimemkagua mi mwenyewe na usajili nimeshampatia. kama vipi nikupe mdogo wake.

Babu asante kwa taarifa.

Naomba kujua tena kitu kingine je kwao wamejaliwa au ni mbwembwe tu na majigambo akistiliwa na keybord?
 
mmh babu hivi ni aina gani ya nanii unatumia mana naona unawatoa vijana kibao nishai hapa jf

wewe ndo unaongoza kwa michepuko uwiiiii twafaa

Jiulize wewe mwenyewe ulinipendea nini.
 
Haina noumer kiongoz, KFC city center au,,hv wanauza bia pale?

...yeah...KFC burger kidogo...fried chicken....hakuna bia hapa...enjoy ur Friday mkuu...to the FULLEST...!!
 
mpaka umeme utu r.i.p soon hahahhah unajua kufanya magazijuto???
when you plus 3 to 10 boys in bracket 3 dadies minus protection times bia za kuongwa is equal to sliming process
is mathematics simple??

class say yess
mimi nasoma mapenziology na hatujui hesabu mi na umukagame ila hapo kwenye uwanja wa zamatoka mtatusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…