The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Habari zenu wana MMU
Labda niende moja kwa moja, nina mpenzi wangu ambaye kiukweli nampenda na yeye ananipenda ila nina kitu kinanikwaza.
Huyu mwenzangu yeye hana elimu kwani form 4 alipata zero.
Pia amejaribu kurudia ila mambo yale yale, upande wa familia ya kwao ni kaka yake tu anayependa penzi letu ila waliobaki hawataki kisa eti wamemtafutia mchumba kijijini.
Sipendi kuonekana nimemchezea na kutoka moyoni nampenda kweli, nishaurini je, nikomae na hali hii au nitafute usawa mwingine.