ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,467
- 28,901
Tukiwa hai tutakumbushana.
Siasa ni mchezo wa soka ukiwa madarakani ila ni mchezo wa kubet ukiwa haupo madarakani, na kama ukiwa mpinzani (haupo madarakani) na siasa zako za kubet unakuwa mtu ku-take risk mara zote, na katika historia ya gwaji boy ni mtu wa kuchukua risk na kuzamia katika kitu chochote controversial ili apate attention ya wananchi.