Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

Hiki kisa kidogo kinafanana na kilichotokea kwangu. Mimi huwa nawahi kurudi mara nyingi kutoka job kuliko wife na kuna siku katikati ya wiki huwa narudi nyumbani mchana kuanzia saa 6 na nakuwa nyumbani nikifanya mambo mengine sebuleni nikiangalia Tv.

Basi dada wakazi ilikuwa kila nikurudi na kukaa sebuleni anaenda chumbani na kuvaa kanga kisha anaanza kufanya usafi sebuleni. Mara nyingine akijua ni muda wa mimi kurudi nyumbani basi anavaa kanga moko anajilaza sebuleni kwenye sofa anaangalia Tv, nikigonga mlango anakuja kunifungulia huku kanga inamuonyesha jinsi alivyo. Na mara nyingi akiwepo wife alikuwa havai hovyo na wala kufanya vimbwanga vyovyote, anakuwa na heshima zote.

Nilimvumilia kwa muda lakini baadae nilichukua hatua kwa kumuweka wazi ujinga anaoufanya siutaki akishindwa aondoke na mtu pekee ninayetaka kumuona akivaa kanga pekee ndani kwangu ni mke wangu. Na wife nilimjulisha hiyo shida ili na yeye aongeze mkazo kwenye onyo maana nahisi hakugundua ninachofanyiwa na huyo binti akiwa hayupo. Tangu hapo nikawa nimesolve issue.

Hilo jukumu la kumwambia huyo binti anapaswa alifanye mumeo haraka sana ukizingatia na yeye ameliona hilo. Ikishindikana muondoe nyumbani vinginevyo huruma itakuponza. Usifikiri mumeo atashindwa kumla. Siku zote nguvu ya dhambi huzidi uwezo wa kufikiri hasa likija swala la kichwa cha chini kikishafanya maamuzi. Mwanaume anaweza kupenda hata kigimbi tu akaona guu la bia kutokana na mazoea yaliyojengeka. Take care! !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri hata yeye ameona mabadiliko. Kumuondoa sioni kama utahisiwa una wivu. Binafsi nashauri ufanye hili, mwite binti na umweleze kuwa unataka kuwa na kikao na Mr na yeye akiwpo. Ila unatakiwa umpe Mr taarifa ya kikao na awe tayari kuongelea jambo hilo. Kama binti ataendelea kuwa na tabia hiyo, basi utamrudisha kwao.

amrudishe kwao, hakuna haja ya kuendeleea kuishi nae, hata huyo Mr asiambiwe na yeye akute hayupo doooo, wanaume washenzi sana.

M
 
Wanamtegemea kwan umamlipa laki tatu? Na hata kama anategemewa na hajielew unamuonea huruma adui yako, ADUI HAONEWI HURUMA ATAKUUA WEWE, acha huruma za ajabu.

Huyo siwez sema sana lkn kuna kitu anakitafuta na ameshakusoma udhaifu wako, RUDISHA YEYE NYUMBANI TENA MAPEMA SANA, HAKUNA HAJA YA KUMWAMBIA ANAYOYAFANYA, MWAMBIE TU SISI TUNASAFIRI KWA HYO HATUHITAJI MTU KWA SASA, KHAAAA STUPID, NAJARIBU KUCHEKA HAPA ANGEKUWA NI MKE WANGU ANGESHATIMULIWA MUDA TU....WEWE NDO MLINZI WA FAMILIA, ANGALIA NDOA YAKO ISIJEINGILIWA NA MJINGA.

NASEMA MPE HELA IKIWEZEKANA ONGEA NA. WAZAZ WAKE, WAAMBIE HVO HVO KUWA MNASAFIR BASI....AKKIONDOKA AKAJA AKAPIGA SIMU MWAMBIE HATUHITAJI MDADA KWA SASA....NA CHONDE CHONDE HAKIKISHA HANA MAWASILIANO NA MUMEO, NA MWAMBIE KABISA MUMEO AACHE KABISA MAZOEA MAAANA AKIONDOKA ANAWEZA AKAAMUA AKOMESHE, SASA HUSBAND AKIJITIA UWAZIMU TU, INAKULA KWENU...MUNGU AKUSAIDIE.
 
Duh... kwa hiyo wanaume wote tumemtaka huyo mdada?
wanaume baadhi including mume wangu ni washenzi kupitiliza.
ukute huyu mume wake alijitongozesha kwa binti, katomba kamaliza, binti kaanza dharau kwa mama mjengo.
wanaume ni washenzi saaana yaani, mme wangu nilimfuma live anatomba binti wa kazi, halafu anasema eti binti alikuwa anamtega sijui uupuuzi gani, wakati huo mimi nilikuwa na week tatu tu nimetoka kujifungua, na binti hata hatuwa tumekaa nae mda mrefu, na binti nilimleta mimi mwenyewe yaani kwa pesa zangu kumtoa huko kwao na mshahara namlipa mimi mwenyewe,

sasam imi nilimtimua binti, mme nimemwambia akaoe huyo binti nikampa na mawasiliano ya wazazi wa binti akatoe posa,cha kushangaza yupo anastress kuliko mie nilie fumania hahahha,yupo tu ameduwaaa binti hajamuoa, kwangu nimesitisha huduma zote kuanzia kupata chakula, kufua, kila kitu anakula hoteli, akili ikiwa fresh nimsindikize akatoe posa. na ninamkusha kila siku
 
Si umfukuze tuu mrudishe kwaoau unamuonea huruma
Poleni na majukumu nyote...

Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa takribani mwezi sasa nyumbani kuhusu dada anayenisaidia kazi za nyumbani nimehisi kitu tofauti ambacho mpaka sasa sijui nianzie wapi kukitatua.

Nakiri mimi si muongeaji sana, asili yangu ni ukimya huwa kuna muda hata nahisi ndio mapungufu yangu pengine Mungu aliyonipatia.

Kifupi nimeanza kuishi na Dada wa kazi baada ya mwanangu kutimiza miezi sita kwa sababu niliihitajika kuendelea na majukumu yangu kibiashara na Niko nae nyumbani karibu mwaka na miezi miwili sasa. Nimeanza kuhisi pengine dada wangu huyu ana hisia na mume wangu kutokana na matendo na nyendo zake.

Katika mizunguko yangu siku zote huwa najitahidi muda wa jioni kuwahi ili kuandaa chakula cha jioni. Siku moja nimerudi naandaa chakula Mara dada ananiambia "mama acha kuandaa chakula nitaandaa mie natamani baba ale chakula changu". Kiukweli sentesi ile ilinishitua ila niliona ninyamaze nifanye kama sikumsikia.

Siku iliyofuata Mr wangu aliniambia nimuandalie mboga fulani chukuchuku. Kama kawaida niliwahi nikaandaa na chakula kingine nikaanda pia. Tuna kawaida ya kula chakula pamoja ila wakati tunakula Dada alichukua mboga kidogo niliyoandaa kwa ajili ya Mr ila baada ya kula kidogo aliinuka na kuanza kunawa huku anasema "mboga yenyewe chukuchuku mbaya bora ningeipika mie". Kiukweli nilibaki kumuangalia tu hata Mr ile hali aliishangaa alituacha pale akaenda kukaa kwenye TV.

Mr alianza kunilaumu kwanini hii tabia ya huyu kuongea maneno kama yale naiendekeza na imeanza lini? Akaongeza ni bora angesemea pembeni sio mbele yake.

Binafsi nilijisikia vibaya ila sikutaka kuonyesha action yoyote. Katika kipindi cha karibuni pia amebadilika zaidi, ninaweza kumuelekeza kitu akijibu kwa kukata tu kuwa anajua. Kuna muda mavazi yake yamekuwa ya kutatiza na ukijaribu kumuelekeza abadilishe kutokana na vazi lile kutokaa kiheshima anajibu amenunua yeye kwa pesa yake tena anajibu huku anaondoka.

Nakiri pengine vile nimempa sana Uhuru pale nyumbani sipendi na sikutaka ajihisi yeye kama mfanyakazi hapa nyumbani basi anajisahau.

Kuna muda nikirudi anaweza asiongee na mimi lakini akifika Mr hilo cheko lake hali inabadilika kuna wakati hata anaporudi Mr asiniongeleshe sana mimi ila kwa mume wangu ataongea nae mpaka basi. Kuna siku Mr aliniuliza kuwa mbona huyu Dada amezidisha mazoea na yeye hasa mimi nikiwa nyumbani. Sikutaka kumwambia chochote nilimjibu tu ni kawaida.

Nimefupisha tu hapa ila kuna mambo mengi sana yananitatiza juu ya huyu Dada. Nafikiria kumuondoa nimrudishe nyumbani ila huruma sababu kwao wanamtegemea. Nimejaribu kumuelewesha bila ya yeye kujisikia vibaya juu ya tabia yake lakini naona habadiliki.

Natamani kumuweka wazi Mr juu ya hii hali ila nawaza naanzaje ili Mr asinielewe tofauti nafikiria ile hali pengine asije kusema ni wivu tu Ila si hivi.

Kiukweli niko njiapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekua karibu ningekupa hug aisee
wanaume baadhi including mume wangu ni washenzi kupitiliza.
ukute huyu mume wake alijitongozesha kwa binti, katomba kamaliza, binti kaanza dharau kwa mama mjengo.
wanaume ni washenzi saaana yaani, mme wangu nilimfuma live anatomba binti wa kazi, halafu anasema eti binti alikuwa anamtega sijui uupuuzi gani, wakati huo mimi nilikuwa na week tatu tu nimetoka kujifungua, na binti hata hatuwa tumekaa nae mda mrefu, na binti nilimleta mimi mwenyewe yaani kwa pesa zangu kumtoa huko kwao na mshahara namlipa mimi mwenyewe,

sasam imi nilimtimua binti, mme nimemwambia akaoe huyo binti nikampa na mawasiliano ya wazazi wa binti akatoe posa,cha kushangaza yupo anastress kuliko mie nilie fumania hahahha,yupo tu ameduwaaa binti hajamuoa, kwangu nimesitisha huduma zote kuanzia kupata chakula, kufua, kila kitu anakula hoteli, akili ikiwa fresh nimsindikize akatoe posa. na ninamkusha kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa aiseeee

Is it a PROPER solution kwa hili, au umefanya kuridhisha hisia zako..?? Mwisho wake nini? Huo mwisho unaouona unafaa kwanini usiufikie leo??
 
Salute you Chief.
Kumbe wanaume tukiamua kuwalinda wake zetu tunaweza.

Big up

Back
Top Bottom