Nahisi dada wa kazi ameanza kumhujumu mtoto, wapi nitapata CCTV camera ili nimfuatilie?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,585
15,363
Ni Yule mchapakazi kupindukia mwenye sifa kemkem hadi wadau wakanitafuta PM wanataka wamuoe.

Nilipokuwa nafanyia uchunguzi usio rasmi mtoto nikagundua anakidondoa ambacho kwa mujibu wa gadgets zake na vifaa vya ncha hata aende wapi, hawezi kupata katika mfumo ule kile kidonda.

Nimembana kwa mbinu zote za kiintelijensia pori na propaganda kali ambazo kama kweli yeye alishiriki hata kumkatakata na wembe au nailcutter aseme lkn alizidi kulia na kudai awezi.

Jaribio la mwisho lililipelekea nimuonee huruma, na kuhisi wenda mtoto kajiumiza mwenyewe japo bado nina vipisi vya dukuduku moyoni.
Baada ya kuhairisha tukio la kumrudisha kijijini kwao akasome desimali (namba) cha ajabu aliamka akafanya mambo kwa bidii mara mbili ya bidii yake ya kawaida. Alipalilia hadi majani kuzunguka nyumba na kumbusubusu mtoto huyo ambaye haongei lakini wanapendana sana.

Hofu yangu ilienda mbali nikahisi amemuambukiza hata ukimwi makusudi maana, aliwahi kuwa muhuni kwa kipindi kifupi kwa mujibu wa historia ya maisha yake ingawa sasa anasema ameokoka.

natamani kupata kijicamera simple tu cha bei yq chini sana ili nimdukue kama Bigbrother Afrika maisha yao hapo nyumbani tukiwa hatupo huwa yanakuwaje. Ukidhibitika uongo katika kauli zake hata nukta namtumbua kwa mstukizo ambao hatasahau maishani mwake.

natamani nimpime ngoma sijui hapo miongozo huwa inakuwaje wakuu, na dogo na yeye itabidi apimwe baada ya wiki mbili ili kujua kama ameamua kulipiza kisasi kwa mtoto wetu ikiwa anangoma.

wakuu naombeni muunge juhudi hili kwa maoni mbalimbali. Sinq lengo baya na ikiwa zoezi hili linavunja sheria ya faragha zake pia nijulishwe ilq katika hili family interest ziko juu ya faragha zake wakuu.

karibuni mtiririke.
nipo katika hisia mchanyato maana huyu dada wa kazi namkubali lkn pia mtoto kuwa salama ndio vision kuu ya kuwepo kwake huyo dada.
 
Ma beki tatu wangu kabla ya kuanza kazi nikiwaleta huwa nawapeleka dispensary za mitaan kwa kuwaambia tunapima km una vimelea vya malaria sugu nakadhalika.
Pembeni nawavuta ma nurse na kuwaambia hiyo damu yake icheki na Ukimwi pia.
Unaweza ikatumia mbinu hii pia.
Sio rasmi lkn inasaidia kuwalinda uwapendao.
 
Kwa nini badala ya kutafuta cctv camera usitumie hiyo pesa kwenda shule ukaanze kidato cha kwanza? Elimu haina mwisho ndugu yangu.ungesoma kwanza pengine hata ungepata akili ukaja kuandika vizuri kama mtu nwenye mtoto kweli mwenye shida.

Achana na cctv camera. Nenda kasoma hata madarasa ya jion.itakusaidia zaidi.
 
Ma beki tatu wangu kabla ya kuanza kazi nikiwaleta huwa nawapeleka dispensary za mitaan kwa kuwaambia tunapima km una vimelea vya malaria sugu nakadhalika.
Pembeni nawavuta ma nurse na kuwaambia hiyo damu yake icheki na Ukimwi pia.
Unaweza ikatumia mbinu hii pia.
Sio rasmi lkn inasaidia kuwalinda uwapendao.
Huyu Bashite ( believe 3) huwa anaagizwa na baba yake
 
Ma beki tatu wangu kabla ya kuanza kazi nikiwaleta huwa nawapeleka dispensary za mitaan kwa kuwaambia tunapima km una vimelea vya malaria sugu nakadhalika.
Pembeni nawavuta ma nurse na kuwaambia hiyo damu yake icheki na Ukimwi pia.
Unaweza ikatumia mbinu hii pia.
Sio rasmi lkn inasaidia kuwalinda uwapendao.
Ko kama ana ukimwi una mstaafisha??
 
Ma beki tatu wangu kabla ya kuanza kazi nikiwaleta huwa nawapeleka dispensary za mitaan kwa kuwaambia tunapima km una vimelea vya malaria sugu nakadhalika.
Pembeni nawavuta ma nurse na kuwaambia hiyo damu yake icheki na Ukimwi pia.
Unaweza ikatumia mbinu hii pia.
Sio rasmi lkn inasaidia kuwalinda uwapendao.
mkuu umenipa wazo.Ila tatizo utekelezaji inabidi propaganda kubwa maana anajitambuatambua sio wale wengine ambao huwa kama nyumbu.
maana beki tatu akiwa na ngoma, alafu mkamkwaza tu anaweza kuinywesha ARV familia yote bila kupenda.
 
Ma beki tatu wangu kabla ya kuanza kazi nikiwaleta huwa nawapeleka dispensary za mitaan kwa kuwaambia tunapima km una vimelea vya malaria sugu nakadhalika.
Pembeni nawavuta ma nurse na kuwaambia hiyo damu yake icheki na Ukimwi pia.
Unaweza ikatumia mbinu hii pia.
Sio rasmi lkn inasaidia kuwalinda uwapendao.
Hivi, ukishampima dada virusi ukagundua hana, athumani kichwa wazi atakubaliana na mambo ya kuvalishwa kanzu? Mkeo akijua utakuelewa kweli intention yako?
 
sasa ukiweka hy camera na siku ukashikwa na degedege la genye ukamla huyo beki 3 c mkeo ataona, ama ?
hahahaa
hiyo ni tafiti ya Siku tatu au nne randomly nikijiridhisha namfanyia suprise ya kurudi home ila nikiona ni wasiwasi za kijinga tu namcertify kwa kazi anayofanya na kupiga chini hiyo kitu.
 
Ushauri kam mama ni hivi ukipokea msadizi haswa kwenye hii idara nyeti ya kulea watoto na familia kwa ujumla ni busara kwenda kumpima magonjwa ambukizi yote

Mimi ni ushauri wangu ndio huo... mkuu
 
Hivi, ukishampima dada virusi ukagundua hana, athumani kichwa wazi atakubaliana na mambo ya kuvalishwa kanzu? Mkeo akijua utakuelewa kweli intention yako?
hiyo nayo mkuu ni bonge la risk. Ila tukiacha janjajanja ya mpuuzi shetwaini nimeshajiapiza kutokusa mwanamke yoyote nje ya my wife. '' eeee mola nisaidie''.
 
Usimnyanyase mtoto wa watu kisa hisia zako!.... Malipo ni hapahapa duniani, heri ujifunze kuwa na upendo maana upendo hushinda yote!!
 
Ushauri kam mama ni hivi ukipokea msadizi haswa kwenye hii idara nyeti ya kulea watoto na familia kwa ujumla ni busara kwenda kumpima magonjwa ambukizi yote

Mimi ni ushauri wangu ndio huo... mkuu
ushauri huu mzuri,
barikiwa
 
Usimnyanyase mtoto wa watu kisa hisia zako!.... Malipo ni hapahapa duniani heri ujifunze kuwa na upendo maana upendo hushinda yote!!
mkuu hanyanyaswi, labda ajinyanyase yeye. watu wote wanajua ni ndugu yetu.
maana alivyokuja hadi sasa anaafya na uso unametameta hadi kuna jamaa ameniona akimpeleleza kama vipi achukue jiko, ingawa binti alimuona jamaa mzee umri ushaenda.
Anapata haki zote mkuu, ila hii sintofahamu imenifanya nitafute jinsi ya kumcertify ili nisiwe na wasiwasi nae muda wote.
 
Back
Top Bottom