Nahisi bado nampenda

Mko wawili tu unakimbia!!!
Hapa mjini kwa wastani ni 3-4 kwa mwanaume mmoja...
 
Pole...jaribu kufikiria mabaya alokutendea zaidi ili usitake ukaribu nae na kwa njia hio utajenga chuki,utamsahau taratibu na muda ukienda utaacha kumchukia na kumpenda vilevile utamchukulia kama binaadamu mwenzio tu!nadhani umeshabaini kuwa huyo mwanaume hakufai na sio class yako!Tulia utapata mtu unaeendana nae!mapenzi matamu mwanzoni tu muda ukienda ndo unajua uhalisia wa mtu ndio maana tunaambiwa tusipaparike!
 
thx dia for your advice.... he z a handsome liar kwakweli.... and I'll be strong i swear....
 
Anamatumizi mabaya ya wanawake huyo, tulizana angalia mwelekeo wa maisha yako.
 
Mapenzi kizunguzungu, mrudie tu cha ajabu hapo sikioni. Mtu chake apendacho hakina hira moyoni huridhika kuwa nacho japo hakina thamani.

Ukienda kwa mwenye chongo weka kengeza♡
penda unapopendwa, usipoteze bahati kirahisi unaweza kulamba♧bureee*
 

Usijitafutie ukimwi na utumwa kwa kuwa tayari unajua tatizo lilipo, ukianzisha movement wewe mtarudiana kwa terms zake yani atakufanya anavotaka ikiwemo kufanya mahusiano yake waziwazi. Jikaze ajirudi mwenyewe vinginevyo unajiua mwenyewe. Malaya haachi
 
pole sana rudiana naye kama vip aendelee kula buuuureeee kama extreme pack za tigo afu hamia kwake kabisa hizi habar za kutoroka kwenu ziache
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…