Mkuu samahani kidogo, hapa chini kuna link inaonyesha kuna kipindi ulikuwa unalalamika sana dem wako anachukuliwa na lecturer, vipi iliishiaje? Cheki hapa chini. Vipi ndo huyo huyo tena leo unadai anakudanganya au huyo ni mwingine
Roho inaniuma, so sorry, hilo nalo litapita, kwani mangapi yamepita bana!!!? Jikaze.
Mpotezee nakwambia akishamaliza chuo atakuja mwenyewe analia, sshv c bado wanadanganyana na mashost, subiri aje mtaani huyo ww tulia tu, suala la muda tu
Hahahaa haaaa
Serious kaniboa kishenzi
Wengine tulipokuwa chuo tulikuwa hat huthubutu kuwa na mtu unamwaza mtu wako tu, halafu mtu mwenyewe anagonga ht hakujali
No usichukie bana coz kumbuka wapo waliotulia nao wanapata wanaume vicheche.
Cha msingi muombe Mungu akuondolee hyo roho ya uchungu na akupe atakaekupenda kwa dhati, somtym unaweza kua una epusha wa kitu who knws!!!?