mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,363
- 6,482
^^
Mpe nafasi awe kama alivyo..akirudi kwako ni wako daima.
Ila kweli unatakiwa uwe na moyo wa paka kutunza mchumba chuoni
^^
Ushachapiwa
Hapo bold ndipo panapoinyemelea roho yako.... kama tatizo kumzoea mfanye mzazi wako umwone milele. Acha mapenzi king'ang'anizi swahiba mtaani wanasema "Ukiona manyoya jua kaliwa" fikiri thamani ya maisha yako na jitafutie mwanamke wa maisha yako. Usipende kuweka roho, akili, moyo na kila chako ktk kapu moja siku ukimwagwa kwa taarifa kwani kimatendo tayari utatuachia kadunia ketu. Ushauri: Chunguza kwa makini sababu anazokupa kama hazina nguvu na ukweli achana nae utafute mwingine... usilazimishe huyo ndiye kwani inawezekana unaepushiwa dhahama la kuingia nae kwenye ndoa...ni hayo tu.habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa tuna miaka mitano katika mapenz yetu.tatizo ni kwamba sasa amebadilika amekuwa na kiburi na mwepesi wa kulaumu .ameanza tabia hyo mwaka jana alipoingia chuo huko moshi,nikimwambia kitu anasema me na wivu sana sijui simwamini ,siku hizi nikimpigia simu usiku anadai amechoka mara anazima simu usiku hapatikani .nimemwambia abadilike lakin sijaona any change.kiukwel nampenda na nimemzoea sana kila nikijaribu kumwacha nikifikiria nilikotoka naye naumia. msaada wa maoni yenu plz
NB mimi nishamalza chuo na ninafanya kazi na matumiz madogo madogo nampa
^^
Mpe nafasi awe kama alivyo..akirudi kwako ni wako daima.
Ila kweli unatakiwa uwe na moyo wa paka kutunza mchumba chuoni
^^
Miaka mitano, umetitahidi mkuu big up, hayo mambo ni kawaida tu wew jikaze upiganie miaka mitano mengine, utajikuta umemaliza nae miaka 50 ya Uhuru
Miaka mitano, umetitahidi mkuu big up, hayo mambo ni kawaida tu wew jikaze upiganie miaka mitano mengine, utajikuta umemaliza nae miaka 50 ya Uhuru
Miaka mitano, umetitahidi mkuu big up, hayo mambo ni kawaida tu wew jikaze upiganie miaka mitano mengine, utajikuta umemaliza nae miaka 50 ya Uhuru
Hapo bold ndipo panapoinyemelea roho yako.... kama tatizo kumzoea mfanye mzazi wako umwone milele. Acha mapenzi king'ang'anizi swahiba mtaani wanasema "Ukiona manyoya jua kaliwa" fikiri thamani ya maisha yako na jitafutie mwanamke wa maisha yako. Usipende kuweka roho, akili, moyo na kila chako ktk kapu moja siku ukimwagwa kwa taarifa kwani kimatendo tayari utatuachia kadunia ketu. Ushauri: Chunguza kwa makini sababu anazokupa kama hazina nguvu na ukweli achana nae utafute mwingine... usilazimishe huyo ndiye kwani inawezekana unaepushiwa dhahama la kuingia nae kwenye ndoa...ni hayo tu.
Himidini uko sahihi,kwa uzoefu wangu mdogo wa haya mambo ni kamuacha hivyo akienda ataenda jumlaw(ni faida kwa wote wawili),
Na akirudi ataukua amerudi jumla.
je yeye anafikiria huko mlikotoka kama wewe.......
haya mapenzi haya
jiongezee mkuu hiyo ni dalili tosha kuwa amekuchoka ila kama bado unampenda na unauvumilivu mvumilie, ukiisha uvumilivu utajua cha kufanya. alfu historia ipo kwa ajili ya kukupa mwelekeo wa mbele lakini ukitumia historia kama kigezo cha kukufanya uwe ubadiliki ni mbaya sana mkuu......! changes must be done no matter how costfull it is utateseka sana ukiendelea kung'ang'ania hapo na utajikutaaa unashindwa furahia ujana wako....... kupunguza makali unaweza find another chick ukawa nae kwa ajili ya kupunguza makali.