Nahili linahitaji Utto akaguwe

Nahili linahitaji Utto akaguwe

Mfinyanzi-Jr

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Wana Jf naomba kujua Pesa za Deci{DESI} zimeishia wapi?

Nakwamtindo huu kweli Bado Zipo?Nani Tumuulize?

Zitarudishwa kwa Wanachama waliozichanaga au?

Au zimeishatumika kwenye Biashara ya Mafuta?

Nisaidieni kujua Wana Jamii.
 
ziko kwenye account ya Magamba zinasubiri uchaguzi 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom