Naheshimu Kamati ya Usajili ya Simba SC, ila nauliza Shiboub tuliyemwacha ana tofauti gani na huyu Kanoute tunayemsifu leo?

Anakiwasha? Tupe takwimu zake.
Hakuna team inaacha mchezaji mzuri, ukiachwa jua ipo namna.
Simba ile Shiboub angecheza namba ya Nani?
 
Tuengue sio team kubwa Senegal lakini pia haina maana wachezaji hao sio wazuri ni sawa na Tanzania ni wazi kama wewe mzuri utaishia Simba ua Yanga na wao watashia ASC Diafaa au ASC jeanne japo sio lazima sana lakini kuna ukweli 90% sababu ya uwezo wa kifedha na fan base. Kuwa mchezaji bora wa Kagera Sugar sio kama kuwa mchezaji bora wa club mbili hizi kubwa. Na hii dunia nzima hata EPL kama wewe kipaji utaishia yale mateam makubwa tu huwezi kuwa bora ukabaki West Ham au sijui Leicester. Hoja hapa hao ukiona wanakuja huku wameshindwa kufika level ya kucheza nje ulaya au North Africa ikiwa njia ya kwenda ulaya. Huyo vicent bosou miezi mitatu tu akapigwa chini Eto Sahel ya Tunisia na haku recover tena kwenda ulaya anaweza kuwa mzuri lakini sio level ya league bora duniani. cream zile kama kina Michael essien zinaenda majuu huku ndio hawa kina Morrison. Watu wa West Africa ni wapiganaji ukiona kashindwa kutoboa ulaya ujue sio kakosa juhudi lakini uwezo.
 
Unataka Simba isajili mchezaji wa daraja la kuchezea Real madrid ?
 
Mimi ni young African fan lakini nina disagree kua Vicent Bosou alikua regular starter national team.

Sikumbuki hata Vicent alicheza mechi hata moja.
 
Bro shiboub alitaka fedha nyingi,simba walishindwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Daaa umenikumbusha mbali sana, Vincent Bosue,bonge la beki na aliiipenda sana yanga.
 
Sio team kubwa na ilikuwepo ligi ya mabingwa ( kama sio shirikisho).
Sio team kubwa na na ndio bingwa wa ligi?
MVP wa ligi ni mchezaji wa kawaida?( hii ya MVP sina uhakika itabidi nifanye tafiti) ila kwa taarifa zilizopo alikuwa MVP

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Hata Tukuyu Stars walishawahi kuwa mabingwa wa league, Azam lakini sio kigezo kuwa ni team kubwa na haijawahi kuingia katika CL ma group labda huko shirikisho. Wamewahi kuwa mabingwa wa nchi yao mara moja tu na wako level ya Kina enzi hizo Tukuyu, Azam hata Mtibwa
 
Bingwa wa 2020_2021 ni nani?
Team inayochukua ubingwa ni kubwa au ndogo?
Mfano hapa Bongo Azam ni team ndogo?
Tukija kwa mchezaji ni mvp wa league, vipi na yeye tunasemaje?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Akili zako za hovyo tu, kwa hiyo unaamini wachezaji wote wasiochezea huko ulikotaja basi hawafai? Kuna mambo hujayajua mengi.
 
Kwa majibu ya Magori moja kati ya wajumbe wa bodi ya simba ni kua hawakuitaji shiboub aondoke ila kocha Enzi izo Sven hakutamuitaji kwenye mipango yake, kwaiyo ndo sababu ya shiboub hakuongezewa mkataba
 
Bingwa wa 2020_2021 ni nani?
Team inayochukua ubingwa ni kubwa au ndogo?
Mfano hapa Bongo Azam ni team ndogo?
Tukija kwa mchezaji ni mvp wa league, vipi na yeye tunasemaje?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kuchukuwa ubingwa sio ukubwa wa team hata huko majuu Leicester aliwahi kuwa bingwa lakini sio kwamba team kubwa. Azam sio team kubwa kuna team Tanzania zina history kubwa kuliko Azam ni shida tu wanapitia. Pamba au Maji Maji wana history kuliko hiyo Azam. Nimesema wa Senagal kama mzuri ataenda kucheza Ligue 1 france hawezi kuja Tanzania.
 
Kwa mentality uliyonayo, tuishie hapa mkuu

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Akili zako za hovyo tu, kwa hiyo unaamini wachezaji wote wasiochezea huko ulikotaja basi hawafai? Kuna mambo hujayajua mengi.
Inawezekana akili zangu sio sawa ila ukweli ndio huo mchezaji mzuri haji huku chini tusijidanganye wale wachezaji wa West Africa mentality yao tofauti wanapigana mbele aje Yanga na Simba? kwa lipi kubwa, acheni kujidanganya kitu kizuri wanabeba juu kwa juu hukohuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…