Mmmh nawewe?????....siamini!
That is fact witnessj au unataka na data? Acha jamaa ajue changamoto zote zitamsaidia kujipanga kama yuko serious na hii safari.
Mmmh nawewe?????....siamini!
We nae mtu wa ajabu kweli! Suala la ukimwi lina sababu nyingi na si kukaa Botswana ndo lazima ufe na Ukimwi. Hata angeishi Tz huenda napo angepataKuwa makini sana na ngono uzembe, maana watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI kati ya umri wa miaka 15- 49 ni asilimia 24.8. Akili kichwani kwako ndugu, maana wanawake wa kitswana sio wachoyo wa viungo vyao ...haswa kwa wageni (foreigners).
Kila la heri mkuu.
PS: Kaka yangu alikuwa Daktari huko Botswana miaka ya 1989....kwa bahati mbaya alipata maambukizi ya UKIMWI huko. Alifariki mwaka 1997. Alituachia majonzi makubwa sana katika familia yetu. Mke wake alifariki mwaka 2012 na kuwaacha watoto bila wazazi. Kwa kweli nilipachukia sana Botswana. Ila Mungu ni mwema.
Mtu wa ajabu ni huyo aliyekubwaga wewe hapa duniani mkuu!We nae mtu wa ajabu kweli! Suala la ukimwi lina sababu nyingi na si kukaa Botswana ndo lazima ufe na Ukimwi. Hata angeishi Tz huenda napo angepata
Haijawahi tokea na haitakuja kutokeaMtu wa ajabu ni huyo aliyekubwaga wewe hapa duniani mkuu!
Vipi ushafika?Nimebahatika kupata kazi katika chuo kimoja cha elimu cha Botswana, baada ya kukosa ajira Tanzania.
Sasa nauliza wadau mnaojua machache kuhusu nchi hii mnijuze.
VpGaborone pako poa,watu wachache, mji mzuri wanaendelea kuujenga.., pakame/pakavu kama Dodoma. Pesa ipo ila wenyeji ni wabaguzi kimtindo., ila ukikomaa ni rahisi kutoka kuliko hapa bongo.