Son of Nun
Senior Member
- May 8, 2017
- 179
- 78
Pole mkuu.nina karafiki ka kike kabotswana... ila naona giza giza tu hapa.... yani sielewi elewi... hadi mwili umekosa nguvu...
Pole mkuu.nina karafiki ka kike kabotswana... ila naona giza giza tu hapa.... yani sielewi elewi... hadi mwili umekosa nguvu...
Shukran mkuu...Pole mkuu.
Asantee kwa kutufungua akili nduguKaribu ughaibuni. Elimu ni ile inayokuwezesha kutawala mazingira yako. Ikuwezeshe kuishi popote katika sayari hii na kustawi. Sasa naweza kusema shuleni ulielimika. Wengi wenu mkifika Dar mnajiona mko "on top of the world". Mnajiona mmepata "trophy" maishani. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa wadogo zetu. Hapo Botswana leseni ya udereva inaisha muda wake baada ya miaka 5, siyo mitatu kama Bongo. Gaborone kuna parking lots za kutosha. Hautolipia tena ku-park kwenye ardhi ya Mungu. Gaborone ina wakaazi kama lakh 3 hivi na magari machache lakini barabara zao ni pana ajabu. Hakuna foleni. Unaweza kukaa sehemu yoyote ya mji na kuamka saa 12:30 asubuhi, ukaoga, ukala kifungua kinywa na bado ukawahi kazini. Malls kubwa ziko kila mahali. Siyo Dar yenye wakaazi mil 5 lakini ina ka-Mlimani City tu. Cost of living iko chini ukilinganisha na Afrika Kusini.
Acha uongo. Nimeishi Gaborone na Joburg+Pretoria. Maisha Gaborone ni expensive sana pengine kutokana na nchi kuwa landlocked (wabotswana wengi wanategemea vitu kutoka South Africa). Uimara wa Pula dhidi ya fedha nyingine unafanya maisha kuwa magumu zaidi (watu hawatumii zaidi). Binafsi Bora South Africa kuliko BotswanaCost of living iko chini ukilinganisha na Afrika Kusini.
Kwa jinsi ulivyoandika-andika hapa hao wabotswana wamepata mfanyakazi feki. Yaan hivi ukamfundishe mtu kweli?Nimebahatika kupata kazi katika chuo kimoja cha elimu cha Botswana, baada ya kukosa ajira Tanzania.
JF huko c ipooo?Nimebahatika kupata kazi katika chuo kimoja cha elimu cha Botswana, baada ya kukosa ajira Tanzania.
Sasa nauliza wadau mnaojua machache kuhusu nchi hii mnijuze.
sawaKwa jinsi ulivyoandika-andika hapa hao wabotswana wamepata mfanyakazi feki. Yaan hivi ukamfundishe mtu kweli?
niliomba online baada ya kuona tangazo lao la ajira,kiukweli nilikuwa kama nabahatisha tu lakini nimepigiwa simu kuwa nitazame email na nikakuta kila kitu kiko poa.Mkuu kazi umeipataje? Hiyo
Mmmh nawewe?????....siamini!Ukiweza kufunga zipu mbele ya watoto chocolate color, shepu za uhakika, chuchu konzi, utatoka mkuu Othewise tunasubiri utuletee mbegu kama utabahatika kurudi mzima.
Chunguza usije kukuta wanaija wanakulia timing wakupigeniliomba online baada ya kuona tangazo lao la ajira,kiukweli nilikuwa kama nabahatisha tu lakini nimepigiwa simu kuwa nitazame email na nikakuta kila kitu kiko poa.
Mwongo wewe mwenyewe. Gaborone nimeishi na Cape Town pia nimeishi. Gharama ya maisha South Africa iko juu - chakula, usafiri, viwanja, pango la nyumba nk. Gharama ya taxi Cape Town, mathalani, iko juu sana kuliko Gaborone. Kitu ambacho ni rahisi South Africa ni usafiri wa anga. Bila shaka ni kwa sababu wana ndege zao nyingi tu. Kuwa landlocked si issue kwa nchi zenye viongozi wenye akili. Nenda Rwanda na Zambia - angalia barabara zao. Ni bora kuliko zetu wenye bahari, mito na maziwa.Acha uongo. Nimeishi Gaborone na Joburg+Pretoria. Maisha Gaborone ni expensive sana pengine kutokana na nchi kuwa landlocked (wabotswana wengi wanategemea vitu kutoka South Africa). Uimara wa Pula dhidi ya fedha nyingine unafanya maisha kuwa magumu zaidi (watu hawatumii zaidi). Binafsi Bora South Africa kuliko Botswana
Sina experience ya Cape Town mm nimesema GAUTENG province. Rwanda maisha ni cheap? Kweli ma-zombie mpo wengiMwongo wewe mwenyewe. Gaborone nimeishi. Nenda Rwanda na Zambia - angalia barabara zao. Ni bora kuliko zetu wenye bahari, mito na maziwa.
Umeshinda. Furahi.Sina experience ya Cape Town mm nimesema GAUTENG province. Rwanda maisha ni cheap? Kweli ma-zombie mpo wengi