GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,469
Kwa experience yangu machine used Tanzania ni rahisi kuliko masoko ya nje, huwa maofisi ulaya/marekani wakibadili computer zinakuja kubwagwa huku. Niliwahi nunua Fujitsu moja gen ya 4 ina touch screen na stylus kwa 320,000 discountkubwa ukiniambia nikwambie mahala bei rahisi zaidi online sina pa kukuonesha.Mkuu kwa mfano nikitaka Computer used kupitia Amazon unaweza kumupa shipping fee Yao na tax deposit na itachukua muda gani kufika TANZANIA?
Mkuu nimeuliza, huwa nawatumia sana na sijawahi kuona tatizo.Wape muda tu utawaelewa endelea kuwatetea
Asante kwa alert, hapa nasubiria gadget moja ngoja tuone itakuwaje.Washawahi nitolea hilo boko, ikawa mara ya mwisho kuagiza kwao...kabla ya hapo ilikuwa fresh tu
Asante kwa alert, hapa nasubiria gadget moja ngoja tuone itakuwaje.
Tatizo amazon hawakubali kuandika bei tofauti na uliyonunua kwenye proforma invoices zao kwahiyo ukikutana na kodi unatwangwa kwelikweliMkuu kama unafuata njia nzuri tumia amazon, wana shipping fee na tax deposit kubwa ila wanaweza kumurudishia isipotumika.
Unafanya tu utafiti, soko la marekani si sawa na la China, mfano unakuta simu kama oneplus 8 mwaka jana ilikuwa inauzwa hadi dola 600, kwenye sale inashuka hadi $250, ukiinunua simu pamoja na usafiri na kodi hadi hapa haifiki dola 400 hivyo unapata kifaa kipya cha uhakika umelipa kodi na bado bei rahisi.Tatizo hamazoni hawakubali kuandika bei tofauti na uliyonunua kwenye proforma invoices zao kwahiyo ukikutana na kodi unatwangwa kwelikweli
Kuna watu wanahitaji PC used ila sijui wapi pa kuwa naziagiza mkuu. Kama unafaham sehemu niambie hata PMKwa experience yangu machine used Tanzania ni rahisi kuliko masoko ya nje, huwa maofisi ulaya/marekani wakibadili computer zinakuja kubwagwa huku. Niliwahi nunua Fujitsu moja gen ya 4 ina touch screen na stylus kwa 320,000 discountkubwa ukiniambia nikwambie mahala bei rahisi zaidi online sina pa kukuonesha.
Ila kama unataka machine kali ya gaming ama computer latest Amazon na masoko mengine ya marekani kama Newegg, bestbuy etc utapata bei nzuri.
Mimi niacha zamani sana. Niliagiza Bluetooth speaker wakaniletea usedNikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead.
Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.
SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Watu wengi hasa wasomali wanazinunua kwa Bulk zikitolewa kwenye Makampuni.Kuna watu wanahitaji PC used ila sijui wapi pa kuwa naziagiza mkuu. Kama unafaham sehemu niambie hata PM
Miaka hii nadhani hakuna shida, manake tangu nimeanza sijawahi kuona tatizo...labda mzigo utachelewa kidogo lakini unafika.Ni zamani kidogo, pengine siku hizi wamejirekebisha...
Hizi 8 kwa $720 ni gen ya 3. Around $90 kwa laptop. Sema changamoto ni usafiri inabidi utafute forwarder wa bei rahisi hata kama mzigo utachukua muda kufika.Kuna watu wanahitaji PC used ila sijui wapi pa kuwa naziagiza mkuu. Kama unafaham sehemu niambie hata PM
Miaka hii nadhani hakuna shida, manake tangu nimeanza sijawahi kuona tatizo...labda mzigo utachelewa kidogo lakini unafika.
Possibly wewe mwenyewe ndio tatizo , inawezekana hukusoma vizuri maelezo. Hili tatizo lipo kwa watz wengi. Wepesi kuhukumu na kulaumu wengine Kwa makosa yao wenyewe.Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead.
Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.
SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Mshukuru sana MUNGU, Mi juzi juzi tu hapa, walinipiga 130K, nlinunua bidhaa ikaja mbovu, kurudisha kimoja, kila nkiwauliza wana nambia swala langu linashughulikiwa tena hadi wanakua wakari, ipo siku yako we endelea tu.Miaka hii nadhani hakuna shida, manake tangu nimeanza sijawahi kuona tatizo...labda mzigo utachelewa kidogo lakini unafika.
Niliagiza mzgo wangu free shipping toka mwezi wa tisa hadi sasaNikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead.
Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.
SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
ulichagua free shipping?Niliagiza mzgo wangu free shipping toka mwezi wa tisa hadi sasa