Huwa kitu chochote cha maana sinunui Aliexpress na Ebay pia kuwa makini wauzaji wa aliexpress na ebay wanaweza kuwa hao hao. Make sure seller kauza maelfu ya Bidhaa na ana rating 90+ ili kujua kama sio tapeli.Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus muda umefika nimepokea mzigo wangu kuja kuangalia nakutana na LCD ambayo inaonekana ni used alafu zile lock zake za pembeni zimekatwa Tena zimekatwa kifujo fujo mbaya zaidi kitu chenyewe hakifanyi kazi kiufupi ni dead. Nime OPEN DISPUTE nikaelezea kila kitu baadae AliExpress wananiambia nirudishe bidhaa ili nirudishiwe pesa zangu na ninavyojua ningumu Posta yetu kutuma vitu nje hasa vitu Kama hivi.
SASA ALIEXPRESS NAVUNJA NAO MKATABA
Huwa kitu chochote cha maana sinunui Aliexpress na Ebay pia kuwa makini wauzaji wa aliexpress na ebay wanaweza kuwa hao hao. Make sure seller kauza maelfu ya Bidhaa na ana rating 90+ ili kujua kama sio tapeli.
Huko watu wanauza hadi bidhaa used hebu Rudi kwa aliekuuzia ukachati nae ama Kama maelezo ya ile bidhaa bado yapo kasome ikiwa hakuweka basi makosa yake!,ila Kama aliweka kosa lako hata huko eBay unapokimbilia usipokuwa makini utakutana nayo.Kivip yaani uniletee bidhaa mfu kuna description gani inayo support hivyo
Kikuu wana shida?Pole sana, naona wanaleta mambo ya Kikuu sasa...
Nilishawahi agiza display ya simu nyingine, wao wakaniletea sijui display ya simu gani ile wajinga wale...
Hebu tuwekee link hapa ya hiyo lcd...seller kama muhun review na ratings zingesema...ukute aliweka wazi conditions kweny description...
Aliepress wako systematic...huko ebay ndio utakula za uso ushangae
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu kama unafuata njia nzuri tumia amazon, wana shipping fee na tax deposit kubwa ila wanaweza kumurudishia isipotumika.We unanunulia mtandao gan mkuu maana nilikuwa na mpango wa kuteketeza pesa ndefu kuagiza bidhaa moja
Sio mbaya pole kw hilo.. Ila aliepress ni afadhal kuzid ebay..ebay ndio chaka la wahuni..ebay unaweza nunua mzigo alaf kesho account ya seller unaambiwa haipo[emoji1787]OK mkuu hujanielewa shida kubwa sio kuwa used ingawa maelezo yanasema ni mpya Shida kubwa ni kwamba hiyo LCD ni mfu yaani Haina hata chembe chembe za kuwaka alafu physical appearance yake ni tofauti na mbali Sana kiufupi ilitolewa sehemu kinguvunguvu zile lock zake za pembeni zime vunjwa na kutolewa nimeangalia kiundani mikanda yake (wire) Ina michubuko
Hebu tuwekee link hapa ya hiyo lcd...seller kama muhun review na ratings zingesema...ukute aliweka wazi conditions kweny description...
Aliepress wako systematic...huko ebay ndio utakula za uso ushangae
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kikuu wana shida?
Mbona naagiza sana parcels na haijatokea wakaleta matatizo.
Mkuu kwa mfano nikitaka Computer used kupitia Amazon unaweza kumupa shipping fee Yao na tax deposit na itachukua muda gani kufika TANZANIA?Mkuu kama unafuata njia nzuri tumia amazon, wana shipping fee na tax deposit kubwa ila wanaweza kumurudishia isipotumika.
Ndomana nataka aweke link hapaJamaa itakuwa alivutiwa na bei nzuri tu ila hakusoma maelekezo yake.