Dah! Mkuu Kama ni ktk namna hiyo hapana aisee namba ninayo isipokuwa naona Kama wamenitajia haraka tu Sasa nataka niihakiki tu Kama Kuna hiyo njia weka hapa

Mfano kama wewe umezaliwa tarehe 7Machi 1995 namba yako itaanza na 19950307-ΓΓΓΓΓ-ΓΓΓΓΓ-ΓΓ.Una wasi wasi kuna uwezekano wa kupewa namba isiyo yako au.