Ningeruhusiwa kumtukana mleta maada ningefanya hvyo maana kuchukua muda wangu kusoma upumbavu wake nimepoteza mood
Kweli urais umekuwa EASY hata Mary Nagu anaota kuwa Rais?
Hahahahha! Kweli Nape anyokazi kubwa!
Kwani urais wa Tanzania ni cheo cha majaribio?...
Acha nitafute baltika ya bariditeh teh teh teh!! Yani hadi mary nagu anautaka urais???
Aisee Tanzania imekua nchi ya mchezomchezo.
Do you mean Mr. Zero a.k.a kichwa cha panzi? You are not serious.Pamoja na yote kuhusu chadema kuwa chama makini lakini ukweli huyu Sumaye anafaa kabisa kushika nafasi hiyo anayoitaka na uwezo anao kabisa kuitoa nchi hii ktk laana inayoikabili yaani rushwa,ubadhirifu wa mali ya umma na ufisadi unaosumbua nchi hii.Nakumbuka walipomuengua ktk kinyanganyiro hicho kule dodoma nilisikitika sana*2,ila bado nina matumaini nafasi hiyo anayo na siku moja atakuwa rais wa nchi hii tu.