Nagharamikia video ni aibu kwa tasnia ya mziki

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,059
4,867
Leo katika pita zangu mtandaoni nimefanikiwa kuona video ya nagharamikia sijajua ni nani aliofanya iyo video maana ni mbaya ajabu kuanzia location, video queen, na script story ya wimbo na rangi ya video haina mvuto kabisa inamaana wameshidwa kuja na idea au story amabayo itabeba wimbo story ya wimbo ni fake fake kweli nimeamimi kiba you're overratted umemdhalisha bella si mlisema mnafanya marekebusho hii video ndo ivi duh
Cc pwilo Shardcole
 
Attachments

  • Screenshot_2015-12-19-23-10-16.png
    Screenshot_2015-12-19-23-10-16.png
    45.4 KB · Views: 1,600
  • Screenshot_2015-12-19-23-09-48.png
    Screenshot_2015-12-19-23-09-48.png
    45.9 KB · Views: 1,503
  • Screenshot_2015-12-19-23-03-06.png
    Screenshot_2015-12-19-23-03-06.png
    59.6 KB · Views: 1,455
  • Screenshot_2015-12-19-23-09-13.png
    Screenshot_2015-12-19-23-09-13.png
    42.9 KB · Views: 1,482
Last edited by a moderator:
Sasa video utaingalia Insta au YouTube?? Acha masihara wewe...
Naenda insta kwa page ya Kiba,then YouTube.
Kwa taarifa yako nimejisubscribe kabisa kwenye a/c ya Ali K YouTube,nashangaa kwanini hawajanitumia email kama ka upload video.
Nimeshajiridhisha anyway,ngoja niende YouTube sasa.
 
Haya nenda urudi kunisimulia hapa... Mimi hiyo video pamoja na Dimondii zote sina muda wa kupoteza kuziangalia na sijaziona bado..
 
Haya nenda urudi kunisimulia hapa... Mimi hiyo video pamoja na Dimondii zote sina muda wa kupoteza kuziangalia na sijaziona bado..
Eti unasema?
Wewe si umenicheka nilivyosema sijaona video ya Kiba?
Mbona wewe hujaangalia ya mondi wako aliyotoa wiki iliyopita hadi leo?
Video nzuri bwana.....
Tena sasa hivi YouTube ndio wananitumia email kwamba Ali K kaupload video.
 
Sasa ndio maana nikawa nawaambia mimi sio shabiki wa huyo Dimondi.. Huwa nazikubali juhudi zake tu..

Sasa kama hapa niko YouTube naangalia vitu zingine ila hiyo Video naona tabu tupu..
 
Sasa ndio maana nikawa nawaambia mimi sio shabiki wa huyo Dimondi.. Huwa nazikubali juhudi zake tu..

Sasa kama hapa niko YouTube naangalia vitu zingine ila hiyo Video naona tabu tupu..
Mhhhhhhh labda sababu umebadili ID,ila kwa the 'late' ID usingethubutu kusema hivi.
 
Mhhhhhhh labda sababu umebadili ID,ila kwa the 'late' ID usingethubutu kusema hivi.

Ningethubutu... Anyways nimetoka kuangalia hiyo Video ya Kiba, ni nzuri bana na naona iko poa sana.. Wabongo wanapenda majungu tu
 
Huu ndo tunaitaga usengelenyuma,video ina tatizo gani ile?,binadam kaz kwel kwel,ukisikia paaah..........
 
Back
Top Bottom