nagawa code ya ku-stream live zali all white party.

nagawa code ya ku-stream live zali all white party.

eeeh tupunguze idad ya wajinga na wasom feki...alshabaab fanyen yenu
 
acheni upuuzi wenu,mnataka kila mtu awe serious kila wakati,kuna wakati wa kuwa serious na wakati wa kuenjoy,ndio maana wengi wenu mnakufa na stress za maisha
 
we km huwez enjoy unatulia tu ufe na stress zako
 
kila mtu ana starehe yke,
wengne wapenda ngono,wengne walevi,wapenda soccer,muzik
wacha watu wa enjoy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom