Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
zali all white party sasa imekuwa ni talk of the the town,kila kijana anaongelea zali all white party ambayo inafanyika leo pale mlimani city.nimeona isiwe tabu,nimenunua code maalum ili ni-stream live online nikiwa huku kijijini kwetu.nimenunua code tatu,nani angependa nimgawie code mbili zilizobaki?.hii ingewafaa sana watu wangu wa diaspora.....aaah natania wakuu.:tonguez::tonguez: