Nafyatua Matofali ya Hydrofoam

dommidee

Member
Aug 17, 2008
18
1
Wadau nauza/nafyatua matofali ya hydrofoam kwa sh 550 kwa tofali.
Piga namba 0785318248 kwa maelezo zaidi.
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,540
13,438
Hiyo bei ni pamoja na usafiri hadi site? Unapatikana wapi?
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,821
25,469
Unafyatua ndio nini?
Yaani kufatua tu ila cement/mchanga wangu? Au ndio unauza yakiwa yashafyatuliwa?
Pamoja na usafiri vipi?
Ofisi yako iko wapi?
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,203
7,045
Pale Mwenge NHBRA wanauza 400 kwa tofali na ukinunua tofali kuanzia 500 and above wanakubebea bure mpaka site yako.
Ndio maana naipenda JF ,ni kama ghulio we sema hivi kumbe kuna mwingine anajua atasema vingine,Shukrani Pasco itabidi namimi niende hapo nikaangalie hayo matofali ,je nyumba ya kawaida sana inaweza kuchukua hayo matofali mangapi,je unajua vipimo vya hayo matofali ,kama unajua tafadhali tujuze
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,821
25,469
Na hivi haya matofali si ndio yale ambayo hata kama una kalenda, saa ya ukutani, picha ya ukumbusho n.k. hutakiwi kuyagonga misumari ili kutundika vitu hivyo?
 
Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,467
1,164
Na hivi haya matofali si ndio yale ambayo hata kama una kalenda, saa ya ukutani, picha ya ukumbusho n.k. hutakiwi kuyagonga misumari ili kutundika vitu hivyo?

Mkuu tafadhali bana kugonga misumari 2011?
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,203
7,045
Pia kwa sh 400 naona ni bei kubwa kwa sababu itabidi uwe nayo 4 kuwa sawa na tofali la block ambalo linuzwa kwa tsh 800 -900
 
jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
765
141
hili tofali likoje na uimara wake ukoje kulinganisha na haya mengine ya mtaani tuliyozoea ya block 550-1200 kulingana na quality
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
1,293
Pia kwa sh 400 naona ni bei kubwa kwa sababu itabidi uwe nayo 4 kuwa sawa na tofali la block ambalo linuzwa kwa tsh 800 -900

one standard 9" solid concrete block equals 3.2 vibrated interlocking blocks,kumbuka kwamba ujenzi wa tofali hili hauhitaji cement and sand mortar
 
Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,141
1,116
one standard 9" solid concrete block equals 3.2 vibrated interlocking blocks,kumbuka kwamba ujenzi wa tofali hili hauhitaji cement and sand mortar
Kama huitaji mortar how do you seal the joints/surfaces between adjacent bocks?
 
mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
556
72
Asante mkuu,pia kwa anaehitaji MATOFALI YA CEMENT BORA Kabisa kwa bei Ya 800TU,KARIBUN SANA .....0764 468 469
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom