Nafuu stationery

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
Msaada wa haraka; naomba kuelekezwa hili Duka lilipo najua ni Kariakoo, mtaa siufahamu. It is an urgent need plzzzz!
 
Una shida nalo nini?.Kama umeona kwenye karatasi piga simu na kama umesimuliwa sifa zake mtake aliyekusimulia akuelekeze lilipo.
Au ni yale yale ya kuleta fitna kwa mali zinazomilikiwa na waislamu?.
 
mmmmmmmmm!
 
Back
Top Bottom