E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jul 21, 2016 #1 Wadau kwa yeyote anayeelewa wapi naweza kupata soko la NYANYA MAJI na MATANGO anijurishe,iwe Tanzania ama nje ya Tanzania napatikana kwa 0714766823 Asanteni sana
Wadau kwa yeyote anayeelewa wapi naweza kupata soko la NYANYA MAJI na MATANGO anijurishe,iwe Tanzania ama nje ya Tanzania napatikana kwa 0714766823 Asanteni sana
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 6,000 Jul 21, 2016 #2 Peleka Ilala sokoni mkuu, but remember now ndio msimu wa nyanya na bei huwa chini sana.
E engmtolera JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,149 Reaction score 1,441 Jul 22, 2016 Thread starter #3 Wonderful said: Peleka Ilala sokoni mkuu, but remember now ndio msimu wa nyanya na bei huwa chini sana. Click to expand... Asante mkuu,naelewa ndio msimu wenyewe,nachikiona hapa ni kuwa huku mashambani bei inakuwa ndogo sana
Wonderful said: Peleka Ilala sokoni mkuu, but remember now ndio msimu wa nyanya na bei huwa chini sana. Click to expand... Asante mkuu,naelewa ndio msimu wenyewe,nachikiona hapa ni kuwa huku mashambani bei inakuwa ndogo sana