S saggy Senior Member Joined Nov 12, 2008 Posts 153 Reaction score 70 Mar 21, 2011 #1 Natafuta nyumba ya Kupanga maeneo ya Kinondoni,Mwenge,Kijitonyama na Sinza.Ofa yangu ni 150,000 hadi 200,000 kwa mwezi. Maelezo: Vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko na choo (sio cha ku share).Ambaye anayo nyumba tutapanga namna ya kuwasiliana.
Natafuta nyumba ya Kupanga maeneo ya Kinondoni,Mwenge,Kijitonyama na Sinza.Ofa yangu ni 150,000 hadi 200,000 kwa mwezi. Maelezo: Vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko na choo (sio cha ku share).Ambaye anayo nyumba tutapanga namna ya kuwasiliana.