Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,880
- 7,631
Ni hizi TAKATAKA za joined 2024 up to date 2026, hovyo kabisa, nyuzi zao zote ni upuuzi mtupu, ukifuatilia ni hawa madogo ambao wamemaliza shule majuzi, JF IMEFELI KUDHIBITI UBORA WAKE.Dah nimelia sana kutokana na ongezeko hili la kasi la vichaa humu JF
Ni hizi TAKATAKA za joined 2024 up to date 2026, hovyo kabisa, nyuzi zao zote ni upuuzi mtupu, ukifuatilia ni hawa madogo ambao wamemaliza shule majuzi, JF IMEFELI KUDHIBITI UBORA WAKE.Dah nimelia sana kutokana na ongezeko hili la kasi la vichaa humu JF
Lissu njoo uone unao wapambania huku.
Watanzania wengi hawajui nini wanataka, kupambania makondoo ya aina hii ni RISK sana maana muda wowote ule yanaweza kuku-betray.. serikali ndio inapenda majitu aina ya mtoa mada maana yanasapoti ujinga wa kuwalaza akili watu wengine..Lissu njoo uone unao wapambania huku.
Dada zako ni bikira?Nitampata kweli
Wapo kwenye wodi za wazazi (labour), wanawazaa watoto wakiwa na bikraNitampata kweli
Hata ukipendwa na huku unaendelea kuchapiwa?Bikra ya nini wewe mkuu, ndiyo itakayokua inskushauri, kupika na kukufulia nguo🏃🏾♀️ tafuta upendo
Ngoja nimuite Mr ice The Icebreaker VAR inahitajika hukuVAR checking....
Eh wewe nenda kijijini ndani ndani uliza utawapata wapo wengi wana heshima hawaangalii hela wana taka waheshimiwe na kupendwa nakujaliwa ukipata kitu kidogo mkumbukeMchizi wangu kao mmasai anasema kaka shemeji yako nafurahi kumpata Sina stress ya ndoa na nimezalisha watoto watatu.
Naheshimika ukweni hata kama Maisha naunga unga.
Ulimpoteza wapi
Ni kweli mkuu😁Kam kweli hivi
Kwahiyo bikra ni kinga ya kutokuchapiwa mkuu?Hata ukipendwa na huku unaendelea kuchapiwa?
Possibility kubwa ya kuchapiwa ipo kwa non virgins ,hao ndo wamekuja na misemo ya kutoridhishwa na vibamiaKwahiyo bikra ni kinga ya kutokuchapiwa mkuu?
Nitampata kweli
What is Bookkeeping?Nitampata kweli