Miakaile nyumba za ibada zilitumika kwaajili ya kuabudu, na sio bishara kama miaka ya sasa.Miaka ya nyuma kwenye 80's na 90's makanisa ya Katoliki walikuwa na utaratibu wa wanawake kukaa peke yao na wanaume kukaa peke yao kwenye makanisa. Kadri siku zinavyoenda naona wanazidi kichangamana lakini mwanzoni utaratibu huu ulikuwa mzuri sana na uliweka heshima makanisani
Hapo Muhimbili umelazwa kupumzika tu au nikweli unaumwa?Bado mkuu wangu
Mkuu duniani Kuna magonjwa mengi na muhimbili wanatibu vingi itoshe kujua naumwa ila naweza toka siku tano toka Leo.Hapo Muhimbili umelazwa kupumzika tu au nikweli unaumwa?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mada kama hii haiwezekani kuanzishwa na mgonjwa aliyelazwa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
At least wenzetu mna concentrate kwenye salaMimi Ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao..
Sijawahi kuishuhudia hii. Labda Anglikana.Miaka ya nyuma kwenye 80's na 90's makanisa ya Katoliki walikuwa na utaratibu wa wanawake kukaa peke yao na wanaume kukaa peke yao kwenye makanisa. Kadri siku zinavyoenda naona wanazidi kuchangamana lakini mwanzoni utaratibu huu ulikuwa mzuri sana na uliweka heshima makanisani