Nafurahishwa na namna wanawake wanavyotengwa na sisi wanaume misikitini na kwenye mazishi hujifanya nijione kidume

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,383
30,836
Mimi ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao.

Yani nikiwaona wanawake wako nyuma wamekaa peke yao wamejifunika kanga au shungi au sisi wanaume tunapanda magari kwenda kuzika wao tunawaacha nyumbani najisikia furaha sana na najiona kidume mwenye mamlaka juu ya wanawake.

Najiona Mimi mwanaume mmoja nawatawala maelfu ya wanawake kwa upole wao na udhaifu.

Yani najiona kidume sana hasa ninapowaona wanawake weeengi wananitazama Mimi kidume peke yangu msibani.

Pia, kitendo cha Mimi kukojoa nimesimama Yani naona fahari isiyo ya kawaida.

Mwanaume ni kiongozi.
 
Miaka ya nyuma kwenye 80's na 90's makanisa ya Katoliki walikuwa na utaratibu wa wanawake kukaa peke yao na wanaume kukaa peke yao kwenye makanisa. Kadri siku zinavyoenda naona wanazidi kuchangamana lakini mwanzoni utaratibu huu ulikuwa mzuri sana na uliweka heshima makanisani
 
Miaka ya nyuma kwenye 80's na 90's makanisa ya Katoliki walikuwa na utaratibu wa wanawake kukaa peke yao na wanaume kukaa peke yao kwenye makanisa. Kadri siku zinavyoenda naona wanazidi kichangamana lakini mwanzoni utaratibu huu ulikuwa mzuri sana na uliweka heshima makanisani
Miakaile nyumba za ibada zilitumika kwaajili ya kuabudu, na sio bishara kama miaka ya sasa.
 
Nadhani hii unawapiga dongo waisilamu, sidhani kama unawapa hongera za dhati. Ngoja nimuite mtoa povu mmoja aje achangie mada hii.
cc: kahtaan
 
Tatizo siku hizi misibani na kwenye nyumba za ibada watu ndio wamegeuza sehemu ya kutafutia madanga na mademu.
Bora tu watenganishwe hata kama inaonekana ni mfumo dume ila pia inaounesha ustaarabu kwa kiasi fulani.
 
Mwanaume ataitwa kiongozi akisimama kwenye wajibu wake impasavyo! Azawaiz unajipa tu moyo hapo!
 
Hapo Muhimbili umelazwa kupumzika tu au nikweli unaumwa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mada kama hii haiwezekani kuanzishwa na mgonjwa aliyelazwa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Mkuu duniani Kuna magonjwa mengi na muhimbili wanatibu vingi itoshe kujua naumwa ila naweza toka siku tano toka Leo.
 
Miaka ya nyuma kwenye 80's na 90's makanisa ya Katoliki walikuwa na utaratibu wa wanawake kukaa peke yao na wanaume kukaa peke yao kwenye makanisa. Kadri siku zinavyoenda naona wanazidi kuchangamana lakini mwanzoni utaratibu huu ulikuwa mzuri sana na uliweka heshima makanisani
Sijawahi kuishuhudia hii. Labda Anglikana.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom