Nafunga taa za urembo led downlight bei nafuu

Nafunga taa za urembo led downlight bei nafuu

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
564
Reaction score
889
Pendezesha nyumna yako kwa taa za urembo Chaguo bora la taa na rafiki kwa mazingira Taa za dari za LED downlight ni mustakabali wa taa za nyumbani. Ni salama, bora nauokoa bili la umeme kwa mahitaji ya kufungiwa taa za LED downlight wasiliana na Mimi pia nafunga vifaa vyote vya umeme, nafunga LED TV flat screen ukutani na kutatua matatizo yote ya umeme majumbani kama Luku kuisha bila matumizi sahihi,natatua tatizo sugu la taa kuungua Mara kwa Mara wasiliana na Mimi pm
Karibuni
 
.
Downlights-Round-12W-OXY-cannot-see-LED-CLHS004.jpeg
Sengkang-4rm-apartment-Living-Room-View-3.jpeg
LED-lighting-in-corridor-compress.jpeg
IMG_20191017_181524_350.jpeg
 
Back
Top Bottom