bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 601
Hatimae yametimia mda si mrefu nitafunga pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana
Karibuni sana ndugu zangu na marafiki zangu
Itakua tarehe 27/8/2017
Dar es salaam
Naomba mungu anisimamie niweze kulitimiza jambo hili kwa uwezo wake pia aendelee kuilinda ndoa yangu
Karibuni sana