Mleta Uzi kuwa serious bas uhitaji ni mkubwaI teach English online.
I have a Bachelor's degree in Counseling and English Language.
I have extensive experience teaching people of all ages and genders.
Welcome.
Haya maneno yako machache hapa hayaoneshi kuwa ni mwalimu mzuri wa hilo somo.I teach English online.
I have a Bachelor's degree in Counseling and English Language.
I have extensive experience teaching people of all ages and genders.
Welcome.
Mwalimu haelewi wanafunzi hawaelewi! Ni mtafutano!😁Unapatikaje, hilo tangazo lako ungeliweka kwa kiswahili, hapo wanaohitaji bado hawajui umeandika nini
Hilo nalo neno. Unatafuta wanafunzi wa kuwafundisha Kiingereza ambacho hawakijui! Tangazo lako unalileta kwa kugha ile ile ambayo hao wanafunzi hawaifahamu!Unapatikaje, hilo tangazo lako ungeliweka kwa kiswahili, hapo wanaohitaji bado hawajui umeandika nini
Kwani umetufundisha tyal mpaka tumejua?? Andika kiswahili tungekuw tunajua kiingereza usingeleta tangazo.I teach English online.
I have a Bachelor's degree in Counseling and English Language.
I have extensive experience teaching people of all ages and genders.
Welcome.
Mwokozi umefika.Naamini kwa sasa tutaanza kuongea bila kukuna utosi na kutokwa jasho bila sababu za msingi.I teach English online.
I have a Bachelor's degree in Counseling and English Language.
I have extensive experience teaching people of all ages and genders.
Welcome.
Huwa anajikakamua sana?Mteja wako wa kwanza awe chawa Tlatla