Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
- Thread starter
-
- #21
Mie nipo Dar mkuu. Ila unaweza kujifunza mwenyewe pia kwa njia ya Youtube. Nikija Mwanza natkuja nione kama bado umeitunza vizuri hiyo hazina ya Baba!Uko Mkoa gani Mkuu, mimi nipo Mwanza na nahitaji sana hiyo kitu, na nina gitaa la Mzee wangu lkn hakuwa na muda wa kunifundisha
Kitendea kazi ndo hicho kimoja nimen'goa leo mie, jipange tu.Dah!
Natamani sana nijue kupiga gitaa na piano! Ila mdo hivyo tena, muda na vitendea kazi.
Rudisha mapenzi kwenye Gitaa mkuu. Moja ya faida ya Gitaa ni kwamba halihitaji umeme...muda wowote kazi tu!
Mkuu mie nipo Dar! kama una nia kweli, jipange ununue Gitaa then jifunze kupitia Youtube. Kuhusu ule mzigo, nilikosa mtu so nikaamua bora nikajinunulie Gitaa tu.Niko Mwanza ningependa kuhudhuria classes zako! Vipi ulinunua ule mzigo online?
Nipo Dar. Hakika utaweza, ni nia tu...pia uwe na Interest.Gitaa na nundu ya vidole hakuna namna upo wapi Mkuu nitaweza kweli kucharaza gitaa kama Diblo Dibala?
Hapa ni kwa wapenzi wa Gitaa mkuu, vinanda waachie watoto wa kike ili vidole vyao viendelee kuwa laini kwa matumizi mengine.Mimi napenda kujifunza zaidi kinanda
Hahahaaaa...wamekusikia!Kwa wanawake wanaotaka kujifunza kubinuka sarakasi wanione....mimi ni mwalimu niliyebobea kwenye mibinuko na mikunjo yote kwenye sarakasi....
Haswaa!!Hapo tuition itabidi iwe ya kudumu!
ulinunua ngapi mkuu? unaweza weka sample?Mkuu mie nipo Dar! kama una nia kweli, jipange ununue Gitaa then jifunze kupitia Youtube. Kuhusu uke mzigo, nilikosa mtu so nikaamua bora nikajinunulie Gitaa tu.
Kwa maelezo ya kina njoo PM mkuuWe jamaa Mungu Akubariki sana yaan kama umeniona! Unaishi dar sehem gn rafiki?..mi nipo k'mbon
Unapatikana wapi hapa Dar?Wadau,
Leo nimefanikiwa kununua Gitaa langu la kisasa kwa pesa yangu, nimefurahi sana! Nilianza kupiga Gitaa nikiwa darasa la tano shule ya msingi hadi leo nimeshamaliza chuo, nina familia...bado naendelea kupiga Gitaa! Nilifundisha kwaya nyingi sana jijini Mwanza miaka ya 2006 - 2010.
Natangaza nafasi ya bure kwa anayetaka kujifunza Gitaa. Nilifundisha wengi na leo najivunia kuwa na vijana wangu wanapiga mzigo kwenye makanisa mbalimbali jijini Mwanza na wachache hapa Dar. Kama kwako ni mbali basi utakuwa unanigharamia nauli. NiPM kama uko interested.
Hii ni Hobby nzuri sana kwangu, mke wangu akinuna tu nashika Gitaa langu...baada ya dakika kadhaa mara naona tabasamu kuuuubwa hadi raha! JIFUNZE GITAA.
Kwa maelezo ya kina njoo PM mkuuUnapatikana wapi hapa Dar?
Hapo nimekuelewa mkuu. Basi nami nijifunze gitaa.Hapa ni kwa wapenzi wa Gitaa mkuu, vinanda waachie watoto wa kike ili vidole vyao viendelee kuwa laini kwa matumizi mengine.
Nawezaje kujifunza kwa Youtube !?Mie nipo Dar mkuu. Ila unaweza kujifunza mwenyewe pia kwa njia ya Youtube. Nikija Mwanza natkuja nione kama bado umeitunza vizuri hiyo hazina ya Baba!
Mh mhhh...you must be targetting me! I just love bass guitars!Nakuja mkuu........nataka nipige bass.......
Mkuu usimpotoshe mrembowangu (kuanzia leo) Preta ...she's on the right trackWewe mtoto wa kike jifunze Solo...bass waachie wenye sura ngumu.
Mkuu mie nipo Dar! kama una nia kweli, jipange ununue Gitaa then jifunze kupitia Youtube. Kuhusu ule mzigo, nilikosa mtu so nikaamua bora nikajinunulie Gitaa tu.