donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Sawa sijaelewa
Nafuga for fun tu mkuu, napenda sana petsSawa sijaelewa
Kama tangazo au biashara
Una kibali? Maana yasije kukuta ya kijangiliNafuga for fun tu mkuu, napenda sana pets
Hawang'ati mkuuDuh hawang'ati hao
MwehUna kibali? Maana yasije kukuta ya kijangili
Hivi wanakula nn hawa wanyama?
Ofcourse mkuu I legally own themDo u have ownership??
Mkuu usitafute matatizo kwa kutafuta sifa mtandaoni..huyo kiumbe(Leopard tortoise)Ni cites appendix II na haruhusiwi kufanyiwa biashara wala kumuhifadhi isipokua kama una Zoo Kisha uwazalishe mwenyewe.
So jihadhali Sana maana naona unaitafuta 30yrs kinguvu!
Hapo ukichomewa kidogo tu umepotea mkuu!
Yes mkuuKobe fulani hivi amazing
dUuuhMkono umeishia wapi na kobe kaanzia wapi sioni vema
Ofcourse mkuu I legally own them
MwehNyara za serikali hizo baba lazima uwe na vibali