Nafikiria kuuweka kwenye kifungashio ugoro niwe nauza kwenye supermarket, maduka n.k

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Mar 12, 2018
402
539
Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.

1623225630499.png

 
Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu.Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.
Kupenya ni ngumu mkuu,makampuni makubwa yanayotengeneza sigara na kulipa kodi zinazotegemewa na baadhi ya nchi kuendesha uchumi wake, zikijua zitakutoa sokoni kwa speed ya mwanga...
 
Kupenya ni ngumu mkuu,makampuni makubwa yanayotengeneza sigara na kulipa kodi zinazotegemewa na baadhi ya nchi kuendesha uchumi wake,zikijua zitakutoa sokoni kwa speed ya mwanga...
Mi hata wakinitoa kwa kunipa hela sio mbaya.Hii business inalipa sana.Zao la tumbaku ' nicotia tabacum ' ni addictive sana.ni Kama sigara wavutaji hununua Mara kwa Mara.Tz hili zao tunazalisha kwa wingi.
 
Sio lazima uuze supermarket..... We package utangaze jumla unauzaje hukosi wateja wa jumla Ila uwe mkali...
 
Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.

Mkuu, lazima upate leseni maalum toka TFDA maana ugoro nao umo katika makundi ya madawa ya kulevya..na yana addiction mbaya mno, vinginevyo utajikuta mikononi mwa pirato.
 
Back
Top Bottom