Sasa bongo kuna wateja wa hivyo vitu unavyoviandika hapo mkuu???? Ingekua overseas sawa sio hapa bongo. Bongo wote wanatumia meno yao, sanasana labda kung'alisha meno na kung'oa tu.Muhimbili Wanatoa Dental laboratory technologist
Ukiwa free ulizia Bei ya dental implants na teeth braces kwa Bei ya hapa Nyumbani tuuu
Kisha uwe huru kuidogosha fani ya Afya ya kinywa na meno
Hujajibu swali ulilo ulizwa.Siwezi kukosa mchongo Meno inahitajika sana na kwakua nina lengo la kujiajiri nitatumia C.O na Dental kufanya makubwa kwa wakati mmoja.
Hapo ulipo unamkataba nao wa milele? Maana unaregrate sana...Unaweza pia pata sehemu ukalipwa vizuri tatizo lako unakisebusebu ukiona MD analipwa million 3 utaanza kupata wenge tena.Habari ya muda wadau wa elimu.
Mimi ni kijana wa miaka 26 na nina Diploma ya Clinical Medicine ambayo nimehitimu 2020..tangu nipo mtaani kufanya kazi sehemu mbali mbali(vijiwe) nimejikuta sina chochote cha maana ninachofanya kwa sababu malipo madogo na kazi zenyewe za kubabaisha sana.
Nina rafiki yangu yeye ni ana Diploma ya meno na tulimaliza wote mwaka mmoja ajabu mpaka sasa ana mafanikio makubwa sana kwanza anapofanya kazi ana thaminiwa na anapewa hela nzuri si chini ya laki 9 kwa mwezi(yeye hulipwa kwa kichwa).Kiufupi ana maendeleo makubwa kiasi mpaka ananihurumia mimi Tabibu wakati tulipokua tunasoma nilikua najiona niko juu sasa niko vibaya kiuchumi.
Kijiwe ninachofanya kazi na vijiwe mbali mbali nilivyopita hakuna mshahara unalipwa kutokana na uanchoingiza unajikuta kwa mwezi unapata kiasi cha 200k-280k na unakopwa juu na ajira za serikali nimeomba nimeangukia pua.
Sasa wazo nililopata ni kusoma hiyo C.Dentisry je, kwa ufaulu wangu huu nilio nao wa Physics C,Bios B ,Chemistry C naweza kupata chuo cha serikali nikajiuma tena kwa miaka 3 na huku nikitumia cheti changu cha C.O kujikidhi mahitaji?
NB;Sifikiri Digrii ya Udaktari kwa sababu ya Hela kua kubwa,ushindani mkubwa na GPA yangu nadhani siwezi kukompiti...
Naomba ushauri katika hilo je,nipo sahihi au nimevurugwa nahitaji ushauri wa kitaalamu.
Matusi sitaki naomba ushauri
Of course, Dentistry inalipa kuliko MD.Habari ya muda wadau wa elimu.

You are wrongShule ya msingi nilikuwa mwanafunzi pekee niliyechaguliwa kwenda kusoma shule ya Bweni ya wavulana nje ya mkoa wangu.
Wengi niliowaacha hasa wale ambao hawakufaulu kabisa, sasa wapo imara kimaendeleo wameshajenga misingi ya kiuchumi.
Mimi mwenye shahada moja sikuhoi mbele yao kiuchumi, nipo mdogo kama kidoge cha Piriton.
Niko early 30 ila najiona sina nyuma wala mbele.
NASIMAMA NA DOGO WA MTWARA
Sijakataa yaani hata kupata hiyo kazi ni ngumy sana...vijiwe mbali mbali nimepita malipo ndo kama hayo upige kazi wateja walipe ndo ulipwe kama hawajalipa na wewe haupati kitu.Hapo ulipo unamkataba nao wa milele? Maana unaregrate sana...Unaweza pia pata sehemu ukalipwa vizuri tatizo lako unakisebusebu ukiona MD analipwa million 3 utaanza kupata wenge tena.
Tulia hujachelewa wewe bado mdogo kiumri,CO ukipata kijiwe chenye procedures nyingi ukajifunza kazi,wakikulipa kuanzia 680k nakuendelea bado ni fear tu.
Nakushauri utafute kazi eneo lingine kwa utaratibu ikuze fani yako alafu badae ukishasettle ndio uangalie utasoma nn degree. Kuna watu wanadegree hawana hata izo sehemu za kuegesha apate iyo laki 2 be careful
Yaan mimi najuta wenzangu walioenda huko kwa sasa wanafurahia neema tu huku mimi maumivu kila siku.Of course, Dentistry inalipa kuliko MD.
Basi tu vijana wanapenda sana kukariri sana Maisha, wamesoma CO kwa fujo mpaka imegeuka yebo yebo.
Ila ndio hivyo, ukasome Diploma ya pili tena![]()
Ila ndio hivyo Maisha hayafananiYaan mimi najuta wenzangu walioenda huko kwa sasa wanafurahia neema tu huku mimi maumivu kila siku.
Nimeamua tu kwenda...ninaanda ada ya mwaka mzima ya kuanzia then Mungu akijaalia mpaka 2025 nitakua na miaka 29 nitakua nimemaliza na wakati huo huo nasoma huku nafanya kibarua...nitapambania hii ndoto kwa nguvu zote.Ila ndio hivyo Maisha hayafanani
Vyuo vya private, Ada siyo chini ya 2M kwa mwaka.Nimeamua tu kwenda...ninaanda ada ya mwaka mzima ya kuanzia then Mungu akijaalia mpaka 2025 nitakua na miaka 29 nitakua nimemaliza na wakati huo huo nasoma huku nafanya kibarua...nitapambania hii ndoto kwa nguvu zote.
Mbona hujajibu swali, kama unataka kujiajiri kupitia C.O na meno si uanze kujiajiri sasa hivi kwa kutumia C.O, pia ukiwa na ofisi yako si unaweza ku-team up na watu wa dental pia, katika ulimwengu wa kujiajiri sio lazima usomee kila kitu, yaan unataka kumiliki zahanati basi usome lab, nursing, mionzi na u-C.O.Siwezi kukosa mchongo Meno inahitajika sana na kwakua nina lengo la kujiajiri nitatumia C.O na Dental kufanya makubwa kwa wakati mmoja.
Ukuu asomee na ulinzi na upishi na typist na secretaryMbona hujajibu swali, kama unataka kujiajiri kupitia C.O na meno si uanze kujiajiri sasa hivi kwa kutumia C.O, pia ukiwa na ofisi yako si unaweza ku-team up na watu wa dental pia, katika ulimwengu wa kujiajiri sio lazima usomee kila kitu, yaan unataka kumiliki zahanati basi usome lab, nursing, mionzi na u-C.O.
Umeongea point sema mletamada tu ni Kiazi😂😂😂😂😂😂Ukweli siku zote unauma sasa utasomeaje jino kama sio ushamba wa dunia. Tena kasomee tu Ukraine hilo jino.
Hivi hawa dentist ni madaktari au ni viraka tu..mana naonaga wanapoteza miaka mi5 bure tu kwa kozi ya kusoma mwaka mmoja sasa jino na kinywa miaka mitano yote unataka uoteshe meno ama?Fanya procedures za Dental kwa wingi kwa muda Fulani ukishajua upige na part-time kwenye Dental unit huku unakomaa CO yako muda wa ziada unaenda kwenye vijiwe vya Dental
Jifunze na kutengeneza Meno bandia pia mjini mipango mwamba
Ukiwa sawa degree kasome DDS kurudi tena 3 Miaka mitatu nyuma Huenda hiyo dental yenyewe ikakosa soko uzuri wake
Dental ina surgery na Cosmetics
Zamani Dental ilitazamwa kama Dying cadle ujue
Bora ukaenda famasi tu..huko nako dental soon utapiga miayo.Siwezi kukosa mchongo Meno inahitajika sana na kwakua nina lengo la kujiajiri nitatumia C.O na Dental kufanya makubwa kwa wakati mmoja.