Nafikiria kukopa kisha kuweka dhamana vyeti vyangu!

Mie niliajiriwa bila vyeti na sijawahi ulizwa vyeti since then,

Ukijua unajua tu, vyeti ni makaratasi tu. hasa enzi hizi za digitali vyeti ndo havina issue kbs
 
Mimi kuna Jamaa kanichia hati ya nyumba mwaka unaenda wa tatu sasa, kila nikimtafuta anabadili namba na nikimpata ni sound tu.

Sasa nimesikia amazenguana na Mke wametengana, natafuta mawasiliano na Mke nikimpata nawachonganisha, nawaambia atakayenipa changu nampa hati.
Hahahahahaha dawa yao ni kuwaambia unaenda kukopea bank wataenda kuikomboa huko wenyewe
 
Back
Top Bottom