Nafikiria kujiungamanisha na Mwamposa!

Nafikiria kujiungamanisha na Mwamposa!

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
1,092
Reaction score
1,696
Mimi ni mkatoliki

Nimetazama kazi anazofanya Mwamposa nimeona Ni kazi kubwa Sana zaidi ya zile walizofanya Petro na Paulo!
Hata Yesu mwenyewe almost afunikwe, but anabebwa na muujiza wa kufufua, kutembea kwenye maji na ufufuko!

Huyu mtu anastahili kukimbiliwa na wanadamu wote hapa ulimwenguni!
Lakini Jambo moja bado linanirudisha nyuma katika kuchukua hatua kumfuata;

Je, yale tunayoona na kusikia yanatendeka yako Real?
Je, iwapo ni Real, hio tu inatosha kugarantee kuwa Ni kazi za nguvu ya Mungu aliye Hai!
Vipi kuhusu kauli yake Yesu, kuwa wengi watakuja kwa jina lake na watafanya miujiza mingi ya kuwapotosha watu? (Marko 13:22)

Potelea mbali! Ninachohitaji Mimi Ni Jambo moja tu, nijue kuwa Yale matendo Ni Real.

Wafuasi wa Mwamposa muliopo humu munisaidie popote mulipo kunishuhudisha mtu anayetembea ambaye hapo awali alikuwa kiwete.
Popote Tanzania nitakuja nimshuhudie na jamii ya eneo Hilo itoe ushuhuda kwamba kweli huyo Ni kiwete wao na Sasa anatembea!

Nimeona ni rahisi kujiridhisha kwa viwete kwa sababu viwete hujulikana mtaani. Hivyo anapoponywa ni rahisi kudhihirika na jamii inayomzunguka!
Na uzuri, Mwamposa ameponya viwete wengi sana. Si rahisi kukosa ushuhuda huu kwenye mikoa yote Tanzania
Bila hivyo, inatosha kuniaminisha utapeli wa Mwamposa. Itawezekanaje aponye viwete wengi wasijulikana wanakoishi.

Chonde chonde ndugu zangu munisahidie nami nipate neema hizi ambazo mtumishi wa Mungu Mwamposa anazimwaga kwa sadaka za kutuma kwenye tigo pesa tu!

Sadaka zake ni fair ukilinganisha na shida za Kisukari, ukiwete na vifungo vya wachawi zinazotusumbua kila uchao!

Naomba kuwasilisha!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hata Yesu anafunikwa?Hebu kamwambie Mwaposa hicho unachokifikiria halafu utueleze kakujibu nini?
 
Rejea huo waraka wa [Marko 13:22] alafu omba roho wako mtakatifu akufungue na akupe maarifa ya kuelewa vizuri zaidi.
 
Mwamposa ni tapeli hawezi kuponya hata panzi aliyevunjika mguu

Nitafutie ushahidi wa kiwete aliyeponywa mguu na awali hakuwa na mguu ,achana na haya maigizo ya wenye miguu miwili wanaochechemea
 
Back
Top Bottom