peche luke
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 365
- 106
Ninataka kugombea urais, ila kuna jambo naona linanipa taabu kufikia uamuzi wangu wa mwisho.
Jambo lenyewe ni haya maoni ya wananchi waliyoyatoa kwenye rasimu ya katiba yaani tuwe na serikali tatu.
Najiuliza nigombee urais wa nchi ya JMT, ZNZ au Tanganyika.
Ni urais upi kati ya hizo utanipa changamoto na heshima zaidi katika kuwatumikia wananchi wangu.