Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
9,644
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
9,644 2,000
Mtaji mkubwa sio tiketi ya kufanikiwa kwenye biashara na hakuna mtaji maalumu wa kuanza nao.

Kuna Mdada alikopa milioni 40o akaanzisha biashara na so fa biashara imekufa.

Unaweza anza na 10,000 na ukapata progress kubwa sana.

Biashara sio mitaji ji ubinifu.

Unaweza pewa milion hata 100 ukaanzisha biashara ya ajabu sana na ukafilisika baada ya muda fulani
Ushauri wako ni mzuri lakini inategemea na aina ya mtu. Wewe unaweza kuwa mchapakazi na mbunifu hata pale unapokwama kabisa lakini kuna watu wengine inawawia vigumu mno. Ndiyo maana umetowa huo mfano wa dada aliyekopa mil 400 lakini hakufanikiwa. Hii inamaanisha kuwa formula ya mafanikio sio moja kwa kila mtu. Huyu mwanzisha thread nilivyomsoma nadhani itakuwa vizuri sana kama ataendelea na kazi na hapo hapo atafute kitu cha kufanya baada ya kazi. Kuna mdau ameshauri bustani, jambo ambalo naona ni zuri na rahisi kwake. Unajua ujasiriamali ndugu yangu kila mtu ana kipaji chake. Kwa jinsi aliuliza na kujieleza tu naona anaweza ku-straggle sana kama ataamua kuacha kazi ghafla. My verdict: atafute kitu cha kufanya baada ya muda wa kazi na weekend na aendelee na kazi mpaka atakapoona ujasiriamali umekaa vizuri.
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
433
Points
1,000
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
433 1,000
Jamani mnaongea tu lakin ajira za watu siku hiz manyanyaso n mengi na pia haikidh mahitaji ya mhusika.....kila siku mnasikia watu wanapunguzwa makazini....!!

Ajira siku hzi hazina guarantee maan waajiri wanatafta njia ya kupnguza wafanyakazi daily....!!

Kkubwa jamaa ajipange kwanza....tena ajipange kweli...apige hesabu anachtaka kukifanya....asikilize ushauri wa walomtangulia....kama maslahi yapo then ruksa
 
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
433
Points
1,000
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
433 1,000
Ushauri wangu mkuu naomba tu usiache kazi....waweza Fanya biashara huku unapiga kazi....ndugu hiyo biashara kwa kuwa ni mwanzo inaweza kuwa ngumu ambapo kama umeacha kazi maisha yanaweza kuwa tough zaidi so fanya vyote mkuu...biashara ikikaa sawa ndo waweza hamia direct sasa...
Ukitaka biashara iendelee yabd mwenye uchungu na mtaji ndo asimamie...!!lakn co kmuachia mtu
 
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
359
Points
500
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2018
359 500
Ahsante mkuu, ushauri wako Uko poa ila nafikiria M2 kwa haraka haraka itanichukua tena mkataba wa mwaka mzima.

Au ndo niendelee kuvumilia tu?
Jomba kuacha kazi ni ugonjwa unaotutesa wengi ila tafuta wazo zuri la biashara la mtaji wa 8k nikuonyshe pa kupata mtaji huo kweny tasis nzuri ya pesa kama mwajiri wako ataweza kukupa barua ukope ulipe ndani ya miez 6 utaweza kunikwamua
 
Hendisamu

Hendisamu

Member
Joined
May 9, 2019
Messages
64
Points
125
Hendisamu

Hendisamu

Member
Joined May 9, 2019
64 125
Jomba kuacha kazi ni ugonjwa unaotutesa wengi ila tafuta wazo zuri la biashara la mtaji wa 8k nikuonyshe pa kupata mtaji huo kweny tasis nzuri ya pesa kama mwajiri wako ataweza kukupa barua ukope ulipe ndani ya miez 6 utaweza kunikwamua
Nifafanulie vzr mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,315,997
Members 505,466
Posts 31,876,073
Top