Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,602
Kama mtaji wako ni laki 8 nakushauri usiache kazi. Mchaga nimekushauri nisikilize vizur.
mashahara wangu ni lak 4.4 lkn kamwe sitowatupa ndg zangu hasa wa damuJukumu la ndugu zako sio lako,hapo ndipo tunapokosea.Huwezi kuendelea kwa hela hiyo kama ndugu wamo humo.Najua sisi waafrika itikadi zetu,lakini ndugu zako hao unaowasaidia siku wakiwa na maisha bora zaidi yako watasema huyu bwana amefanya kazi miaka 29 lakini hana la maana alilofanya ,wakati wewe umewahangaikia.Cut them off and focus on your life with your family and achieve your goals. Fanya biashara na kazi,na hiyo biashara usimkabidhi ndugu they don't care.
naunga mkono hojaFanya biashara na kazi, ili ‘’kimoja kikiterereka, kingine kina boost ‘’
Mpatie mchanganuoa na uonyeshe ni kwa nini ni ndogo make kusema tu ni ndogo hujamsaidiaPole sana mkuu ila naona hiyo pesa ndogo sana kuanza na kuacha kazi, Fanya kazi endelea kuwekeza angalau hata M2+ uwekeze kwenye mgahawa wa chakula na vinywaji, najua kwa dar vinalipa sana, ila hiyo hela ndogo kwa kuacha kazi.
Pub na nyamachomaAhsante sana kwa maneno yako mazuri na faraja ndani yake!
Sasa mkuu kazi na biashara ÷ muda inakuwa ngumu maana naingia 1:30 asubuhi - 9:30 alasiri.
Mfano sasa biashara gani ambayo naweza kuifanya kwa kufix muda huo.?
Unapo taka kuchukua maamuzi angalia wewe mwenyewe.Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.
Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.
Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.
Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.
Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.
Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?
Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?
Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
Biashara inaweza kuwa ngumu hata mwishoni. NOKIA alikaribia kufilisika mwishoni sio mwanzoni.Ushauri wangu mkuu naomba tu usiache kazi....waweza Fanya biashara huku unapiga kazi....ndugu hiyo biashara kwa kuwa ni mwanzo inaweza kuwa ngumu ambapo kama umeacha kazi maisha yanaweza kuwa tough zaidi so fanya vyote mkuu...biashara ikikaa sawa ndo waweza hamia direct sasa...
Kwani akicha kazi mfano atakuwaje? Atakufa?Mkuu unawazo zuri ila maisha sasa yamebadilika cha msingi hicho kiasi ulicho nacho kwa ajili ya kuanzisha biashara endelea kusave coz kitakupa changamoto kubwa ukienda kichwa kichwa, so usiache kazi ila tuu fanya biashara ukiwa kazini na utakapoona mzunguko wa biashara unayofanya unafaida ndipo waweza kuquit ila sio kwa sasa maana bado mapema na inavoonesha hujawa na experience katika biashara vyakutosha.
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.
Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.
Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.
Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.
Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.
Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?
Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?
Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
Mtaji mkubwa sio tiketi ya kufanikiwa kwenye biashara na hakuna mtaji maalumu wa kuanza nao.Kuwa tu mkweli kiongozi,ingekuwa unalipwa pesa hiyo hauwezi kushindwa kuimanage mpaka kufikia ndoto zako na kuwa na mtaji mkubwa.shida inakuja unakuta mtu mshahara Kama waKwako iwapo unapata kiasi iko unataka kuonekana Don kwa muda mfupi.
Sawa kabisa Mkuu Chasha, nakuelewa sana mkuu.Mpatie mchanganuoa na uonyeshe ni kwa nini ni ndogo make kusema tu ni ndogo hujamsaidia
Kwa hiyo ww unamshaurije?Biashara inaweza kuwa ngumu hata mwishoni. NOKIA alikaribia kufilisika mwishoni sio mwanzoni.
Hizi ni fear of unknown
Usikurupuke mkuu , kwa hicho kiasi unachotaka kuanza nacho aisee nikidogo vumilia ili uweze kupata kiasi hata M2+ Kisha ndo ufikirie kufanya biashara, unaweza acha kazi ukajuta mkuuWana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.
Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.
Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.
Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.
Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.
Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?
Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?
Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
one of ze best comment everUnapo taka kuchukua maamuzi angalia wewe mwenyewe.
Humu utapewa kila aina ya ushauri na kila mtu atakupa kile anacho penda na nyingi ssns humu ni za fullu uoga unaogopeswswa mno.
Sikiliza kama huridhiki na kazi uliio nayo sasa fanya kile kitakacho kupa furaha kwenye maisha yako
Swala la sijui utateseka hizo fear of Unknown. Ni hofu zisizo kuwepo sasa
Wewe amini unacho amini na kisimamie hicho usitishwe na mtu mara utateseka mara utapata shida mara ohoo kazi tamu.
Mzee ukiwa na uhai na maisha uta fight till the end of your life.
Mengi ka fight till mauti yamemkuta. Kikubwa tu omba afya njema basi mafanikio yapo.
Hakuna Makaburi ya watu walio kufa baada ya kukosa kazi au kuacha kazi, sijawahi yaona mimi.
Hao wenye kazi hata wao hawajui kesho bosi wao atawaza nini au kwa sasa kampuni inawaza nini.
Mtaji unatosha kabisa huo ni kujipanga na kuwa na ubunifu.
Biashara ya sasa ni ubinifu tu so usiogope kabisa Mkuu
Mtaji mkubwa sio tiketi ya kufanikiwa kwenye biashara na hakuna mtaji maalumu wa kuanza nao.
Kuna Mdada alikopa milioni 40o akaanzisha biashara na so fa biashara imekufa.
Unaweza anza na 10,000 na ukapata progress kubwa sana.
Biashara sio mitaji ji ubinifu.
Unaweza pewa milion hata 100 ukaanzisha biashara ya ajabu sana na ukafilisika baada ya muda fulani