May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,162
- 8,820
Nguvu yote imewekwa kwenye kukamua pesa lakini hakuna nguvu ya kuwapa Watu ajira.Huyu Bwana anapenda Sana kutoza Kodi kuliko kubuni uzalishaji.
Hakuna nchi ikiyowahi endelea kwa kubuni vyanzo vipya vya kupora fedha wananchi kupitia Kodi mpya kwa vyanzo vilevile.Nchi uendelea kwa kuchochea uzalishaji na sio kukazania Kodi mpya kwa watu walewale.