Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,385
Ni hela za kulipa mishahara maana hali ni ngumu kwani watu wengi wamefunga biashara.Hiyo miradi inatengenezwa kwa mikopo. Hamna cha kodi wala nini.
Ni hela za kulipa mishahara maana hali ni ngumu kwani watu wengi wamefunga biashara.Hiyo miradi inatengenezwa kwa mikopo. Hamna cha kodi wala nini.
Raisi si yupo awasemee wanyonge! Wewe unataka tugome migomo ilishawahi ruhusiwa hapo lumumba????Si kweli watu ni kuamka na kuhamasishana kuigomea huduma kandamizi watarekebisha tu lakini sio kupinga tu kila jambo bila ya sababu hata kama ni la maana!
Unakuwaga na maakili sana weweUnazungumzia serekali ipi??! Tokea lini serekali ambayo haina kibali cha wananchi ikashughulika na matatizo ya wananchi?Yaani serekali iingie madarakani kwa wizi wa kura kisha ishughulikie matatizo ya wananchi?Una kichaa?
Yaani serekali iliyoshindwa kuzuia bei ya mafuta ya kula ambayo ni bidhaa pendwa ya wanyonge kupanda kiholela ndiyo ikashughulikie mambo makubwa ya mitandao ya simu?Stay tuned the worst is yet to come!
Haiingii akilini kama Serikali na mamlaka zinazosimamia hii mitandao ya simu hazijui hizi gharama za kinyonyaji za hii mindao.
Walianza Tigo kupandisha gharama zaidi ya 100%. Sasa hivi Voda nao wamepandisha. Serikali imebariki huu wizi ili ipate kodi kubwa kwa ajili ya hii miradi yake.
Unazungumzia serekali ipi??! Tokea lini serekali ambayo haina kibali cha wananchi ikashughulika na matatizo ya wananchi?Yaani serekali iingie madarakani kwa wizi wa kura kisha ishughulikie matatizo ya wananchi?Una kichaa?
Yaani serekali iliyoshindwa kuzuia bei ya mafuta ya kula ambayo ni bidhaa pendwa ya wanyonge kupanda kiholela ndiyo ikashughulikie mambo makubwa ya mitandao ya simu?Stay tuned the worst is yet to come!
then kafungue kesi kwamba unataka upangiwe bei unaotaka! useless
Mpandishaji ni serikali mwenyewe,yeye anachofanya ni kuongeza kodi tu,ambayo inahamishiwa kwa wanyonge,Haiingii akilini kama Serikali na mamlaka zinazosimamia hii mitandao ya simu hazijui hizi gharama za kinyonyaji za hii mindao.
Walianza Tigo kupandisha gharama zaidi ya 100%. Sasa hivi Voda nao wamepandisha. Serikali imebariki huu wizi ili ipate kodi kubwa kwa ajili ya hii miradi yake.
Kusema ukweli hii nchi ni ya kibwege sana. Kila mtu kimyaaa. Hakuna hata mmoja wa kuongea. Kila mtu hofu imemshika.Mpandishaji ni serikali mwenyewe,yeye anachofanya ni kuongeza kodi tu,ambayo inahamishiwa kwa wanyonge,
Na safari hii hakuna watetezi sehemu yoyote ile ni mwendo wa kugonga meza tu
Na tunakoelekea ni kubaya sanaKusema ukweli hii nchi ni ya kibwege sana. Kila mtu kimyaaa. Hakuna hata mmoja wa kuongea. Kila mtu hofu imemshika.
Nyie watu wa lumbumba msiwe na wasiwasi mtaendelea kutumia vifurushi vya zamani.
Je CCM ni Chama au ni mtu?Kwahiyo mh magu ni kama ulivyosema ☝️☝️