Hakika mkuu, naamini hivyo, uwezo wa mtu kupambanua mambo huongezeka siku baada ya siku kulingana na mazingira. Naamini hata kwa hizi fikira zangu huru umeshaanza kufikiria tofauti kichwan mwako tofauti na ilivyokuwa jana au juzi.Umeleta mda muzuri na ukatuaminisha kwamba wewe ni mfikiriaji huru,sasa umeanza kutuaminisha tofauti.
Uwezo wa mtu kufikiroa unaongezeka siku hadi siku na kizazi hadi kizazi,hilo nalo kweli ni fumbo!%-%
kuzaliwa,kuishi na kufa ni kiashiria tosha kuwa kuna munguhebu nihakikishie uwepo wake?
KIVIPIkuzaliwa,kuishi na kufa ni kiashiria tosha kuwa kuna mungu
Kama ametuleta wawili sasa mabilion atatuweza,Aliyetuleta aje atuchukue
hakika mkuu Mungu yupo na muweza ya yoteUVUMBUZI na UGUNDUZI unaendelea na UKWELI utajulikana.Ila ni hakika MUNGU YUPO na tumeumbwa nae.
Hiyo niliona ila nikawa kama sijaipenda ila hembu nipe intro kidogo nishawishike mkuu.....Kuna move moja nimeangalia inaitwa the 100.
(The hundred)
Inafanana sana na hichi unachotaka kutuaminisha mkuu.
[emoji23][emoji23]kwa kweliAliyetuleta aje atuchukue
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Aliyetuleta aje atuchukue
Hebu iweke hapa ili tuisome hiyo theory kama hautajali mkuu.Kwanza katika solar yetu hakuna penye visible viumbe kama Earth may be invisible, Ulimwengu ni mpana mno mno kuamini kuwa tupo wenyewe ni Ngumu sana hio theory ya uhai kuletwa na viumbe wa anga za mbali ipo tayari japo sio proved ila ina mantiki sana ukisoma mkuu
ni movie flani inaongelea vitu kama hiviAmekuwaje?
Kama binadamu alitengenezwa, basi kuna mtengenezaji na si mwingine ni Jehovah [ Mungu]
Salaam!
Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu,
Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo).
Chukulia leo hii tukachukua watoto kama 20 wa kike na wa kiume, tukawapandisha kwenye ndege tukawapeleka katika sayari mojawapo huko juu ambapo kuna uwezekano wa kuishi, tukawaacha huko tukarudi duniani. Baada ya miaka 20 watoto wale hawatajua walikotokea, watazaliana na kizazi kipya kitaanza huko na maisha yataendelea pasipo kujua kwamba kuna sehemu inaitwa dunia na kwamba ndiko walikotoka.
Je, tunaaminije kwamba na sisi hatuko kama mfano niliotoa hapo juu?
What if, katika sayari flani tusiyoijua kuna binadamu kama sisi wanaishi na huko ndo kuna chanzo hasaa cha binadamu.
What if babu zetu wa kwanza walishushwa tu wakatelekezwa huku duniani basi nao wakaanza kuzaliana na wakakua nao wakazaa na ikawa ndio dunia hii ambayo hatujui hata tulitokea wapi.
Watu wanaongelea issues za alliens na UFOs tunawaona wapuuzi, what if kuna kitu hatukijui? What if kuna zaidi ya sayari 9 tuzijuazo? And what if katika sayari flani ndiko binadamu hasa alitengenezwa na wakaanza kuzaliana?
Ninafikiria kwa sauti tu.
Allah ndio mungu ganiSiyo Allah?