Amekuwaje?john carter
Kweli kabisa, mana vita, magonjwa nk. Vinatutesa.Aliyetuleta aje atuchukue
Na ukiulizwa huyo Jehova katengenezwa na nani utasemaje mkuu..???!....hili jukwaa haliwafai walokole kama wewe mkuu.Kama binadamu alitengenezwa, basi kuna mtengenezaji na si mwingine ni Jehovah [ Mungu]
UVUMBUZI na UGUNDUZI unaendelea na UKWELI utajulikana.Ila ni hakika MUNGU YUPO na tumeumbwa nae.inawezekana ikawa hivyo lkn bado haijawa proved!
kuna story nilishawahi kuisoma humu(lkn sikumbuki iko wapi sasa) kwamba binadamu na viumbe vyengine tulipandikizwa mean uhai ulipandikizwa hapa duniani kutoka kwa viumbe wa sayari za mbali!
lkn kama tulipandikizwa kwanini hao waliotupandikiza hatujapata kuwaona au kwanini hawaji kutucheck tunaendeleaje..? ama ndo kusema wao wana high technology so wanatucheck huko huko! but duh! my self i don't know.
mkuu kuhusu sayari zimeshagundulika sayari nyingi kama ni mfatiliaji wa habari bbc mwaka huu walitangaza sayari takriban buku na kitu zimegundulika from another stars! na kuna nyengine hii imegundulika nadhani miezi michache iliyopita wanasema inataka kufanana na earth kimazingira lkn iko far away but wapo kwenye harakati za kupeleka chombo lkn kufika 😱😱 kitachukua uwepo wa kutosha!
pamoja na hayo yote sayari hizi hatuna prove ya uhakika kuwa kuna uhai isipokuwa makadilio tu!
CD empty can't play what do you think about earth and mars..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu huu mchezo hauitaji hasira.Na ukiulizwa huyo Jehova katengenezwa na nani utasemaje mkuu..???!....hili jukwaa haliwafai walokole kama wewe mkuu.
hebu nihakikishie uwepo wake?UVUMBUZI na UGUNDUZI unaendelea na UKWELI utajulikana.Ila ni hakika MUNGU YUPO na tumeumbwa nae.
Uwepo wa MUNGU ni MWISHO wako wa KUFIKIRI.hebu nihakikishie uwepo wake?
ha ha ha huo uwezo wangu wa kufikiri umeupima lini mpaka ujue yeye ndo mwisho wangu wa kufikiri..?Uwepo wa MUNGU ni MWISHO wako wa KUFIKIRI.
Naipenda hii movie,,Huyu jamaa ajiulize pia dunia ina Oxygen 21% na Nitrogen 79% ndio sababu hao scientists kila sayari wanababaisha Kuna maji ili waaminishe Kuna oxygen(maji =H202) maana maji yana oxygen Lakini hizo sayari nyingine utakuta hewa ni helium tupu au nitrogen tupu ambamo binadamu hawezi kuishi.Hakuna mmea wowote unaoota,,mwisho wa siku unaelewa maisha yako duniani tu kwa viumbe hai.Kuna move moja nimeangalia inaitwa the 100.
(The hundred)
Inafanana sana na hichi unachotaka kutuaminisha mkuu.
Mkuu ndo maana nakwambia huo ndio mwisho wa uwepo wako wa kufikiria. Nani aliyekwambia kwamba kun sayari 9 tu ulimwenguni?Naipenda hii movie,,Huyu jamaa ajiulize pia dunia ina Oxygen 21% na Nitrogen 79% ndio sababu hao scientists kila sayari wanababaisha Kuna maji ili waaminishe Kuna oxygen(maji =H202) maana maji yana oxygen Lakini hizo sayari nyingine utakuta hewa ni helium tupu au nitrogen tupu ambamo binadamu hawezi kuishi.Hakuna mmea wowote unaoota,,mwisho wa siku unaelewa maisha yako duniani tu kwa viumbe hai.
Yaweza kua ndivyo lakini mimi waniache hapa hapa DUNIANI,kuna raha sana hapaSalaam!
Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu,
Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo).
Chukulia leo hii tukachukua watoto kama 20 wa kike na wa kiume, tukawapandisha kwenye ndege tukawapeleka katika sayari mojawapo huko juu ambapo kuna uwezekano wa kuishi, tukawaacha huko tukarudi duniani. Baada ya miaka 20 watoto wale hawatajua walikotokea, watazaliana na kizazi kipya kitaanza huko na maisha yataendelea pasipo kujua kwamba kuna sehemu inaitwa dunia na kwamba ndiko walikotoka.
Je, tunaaminije kwamba na sisi hatuko kama mfano niliotoa hapo juu?
What if, katika sayari flani tusiyoijua kuna binadamu kama sisi wanaishi na huko ndo kuna chanzo hasaa cha binadamu.
What if babu zetu wa kwanza walishushwa tu wakatelekezwa huku duniani basi nao wakaanza kuzaliana na wakakua nao wakazaa na ikawa ndio dunia hii ambayo hatujui hata tulitokea wapi.
Watu wanaongelea issues za alliens na UFOs tunawaona wapuuzi, what if kuna kitu hatukijui? What if kuna zaidi ya sayari 9 tuzijuazo? And what if katika sayari flani ndiko binadamu hasa alitengenezwa na wakaanza kuzaliana?
Ninafikiria kwa sauti tu.
Umeleta mda muzuri na ukatuaminisha kwamba wewe ni mfikiriaji huru,sasa umeanza kutuaminisha tofauti.Mkuu ndo maana nakwambia huo ndio mwisho wa uwepo wako wa kufikiria. Nani aliyekwambia kwamba kun sayari 9 tu ulimwenguni?
Unajua hivyo kwa sababu wanasayansi wetu wameishia hapo. Lakini what if kuna zaidi ya hayo tunayoyajua?