Nafasi za uongozi zinakopatikana

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
_7.jpg

_6.jpg
 
kwa tuliosoma geography enzi hizo hili lingekuwa swali kabisaaa.. hivi sikuhizi bado wanauliza yale maswali ya pornography and map reading
 
kumbe nilifanya kitu cha maana kuliacha hili somo,,Mnafundishwa pornography?
 
kwa tuliosoma geography enzi hizo hili lingekuwa swali kabisaaa.. hivi sikuhizi bado wanauliza yale maswali ya pornography and map reading

Tafadhali tutake radhi walimu wa geography kwa kauli hii,unatuchonganisha na jamii ni bora ungewasingizia ata walimu wa biology labda,lakini geography! Umenifedhehesha sana.
 
hapana wa biology si sex-ology and morphology mkuu
 
Wakubwa bila ndumba mambo hayaendi kabisa, CNN wameliona hili!

CNN wanatumulika kweli.
Juzi/jana nilisikia kuna kiasi kama tani 4 ya meno ya tembo zimekamatwa uchina na wakasema zinatoka Tanzania na Kenya.
Noma kweli.
 
Zile walizosema wanaziombea kibali waziuze kumbe mafisadi walikwisha chonga dili na kuziuza; ile kuomba kibali ilikuwa danganya toto tu!! Usimchezee mkweree mbele ya pesa.
 
Tafadhali tutake radhi walimu wa geography kwa kauli hii,unatuchonganisha na jamii ni bora ungewasingizia ata walimu wa biology labda,lakini geography! Umenifedhehesha sana.
Ndio maana siku zote walimu mtaendelea kuonewa, mimi nilifikiri ungepinga hoja kwa hoja ukisimama wewe kwa niaba ya wenzako, matokeo yake unamrushia mwenzio mpira wakati hata huna ushahidi kwa hilo unalosema.
Ama kweli walimu mnafurahisha, jifunzeni kutoka kwa wenzenu kama madaktari.
 
Back
Top Bottom