Bro umepotea...if u think jeshi kwako ndo last hope...! kwa taarifa tu, last recruitment ya jeshi ICT department wamechukua more qualified people than u, na tena baadhi nlikuwa napiga nao dili pale Dar very experienced guys...so, unapodhani itakuwa rahisi...think again! u av got to b very very competitive this time round..popote, si jeshini tu! unless uingie general duty!!!!
uhamiaji tanzania ni sehemu ya jeshi? ni sehemu zote za uhamiaji toka bandarini/uwanja wa ndege/mipakani hadi maofisini? nauliza ili nielimike maana sikuwa nafikiria hivyo.
Mkuu polejAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE ATAKAE SIKIA KAMA NAFASI ZIMETOKA ANIJUZE VILEVILE KAMA KUNA ANAEJUA VIGEZO VYAO NIJULISHENI ............
uhamiaji tanzania ni sehemu ya jeshi? ni sehemu zote za uhamiaji toka bandarini/uwanja wa ndege/mipakani hadi maofisini? nauliza ili nielimike maana sikuwa nafikiria hivyo.
jAMANI NINA KA DIPLOMA KANGU KA 'I.C.T' NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI ILA IMESHINDIKANA,SO NIMEAMUA KUJIINGIZA KATIKA JESHI LA POLISI ILA NIMEPENDA ZAIDI MIGRATION,NAWAOMBA WADAU WOTE KWA YEYOTE ATAKAE SIKIA KAMA NAFASI ZIMETOKA ANIJUZE VILEVILE KAMA KUNA ANAEJUA VIGEZO VYAO NIJULISHENI ............
Hahaha!kaka usiseme ilo coz hata roma kaimba kwenye tanzania tanzania kwamba"kimbilio kwa walio*** ni ualimu na upolisi...kaka hii ndio tz bana[/QUO
huo ndo ushauri wako sio?? jaribu kuwa muelewa anataka ushauri na sio maoni.
unajua maana ya aliye fail???diploma hajafail...Hahaha!kaka usiseme ilo coz hata roma kaimba kwenye tanzania tanzania kwamba"kimbilio kwa walio*** ni ualimu na upolisi...kaka hii ndio tz bana
Hahaha!kaka usiseme ilo coz hata roma kaimba kwenye tanzania tanzania kwamba"kimbilio kwa walio*** ni ualimu na upolisi...kaka hii ndio tz bana